Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Hongera sana Ali kiba kuchaguliwa katika uzinduzi wa Tecno Phantom plus
 
Watanzania bhana!! Hivi unamtumia vipi celebrity kutoka Afrika kwenye uzinduzi wa prestigious product inayozinduliwa Dubai?! From marketing point of view, unavyotumia celebrity ni kwamba unataka kuteka consumers psychology... unawataka akina "wanna be" Kwamba, niwe na Galaxy A7 kama ya Vanessa!! Sasa ni "wanna be" yupi Dubai anayetaka kuwa kama Kiba au hata Diamond, Davido n.k?!

Kamera ya Tecno Phantom 6 plus inatumia teknolojia ya Sony! So, inawezekana Kiba alipata mwaliko kama a member from Sony Entertainment family sawa na mamia ya waalikwa wengine lakini sio eti alitumika kwenye uzinduzi!
 
Kuna mtu aliniambia anaenda kwenye huo uzinduzi but atalipwa kama 20m na ushee ila haizidi 30m
 
Watanzania bhana!! Hivi unamtumia vipi celebrity kutoka Afrika kwenye uzinduzi wa prestigious product inayozinduliwa Dubai?! From marketing point of view, unavyotumia celebrity ni kwamba unataka kuteka consumers psychology... unawataka akina "wanna be" Kwamba, niwe na Galaxy A7 kama ya Vanessa!! Sasa ni "wanna be" yupi Dubai anayetaka kuwa kama Kiba au hata Diamond, Davido n.k?!

Kamera ya Tecno Phantom 6 plus inatumia teknolojia ya Sony! So, inawezekana Kiba alipata mwaliko kama a member from Sony Entertainment family sawa na mamia ya waalikwa wengine lakini sio eti alitumika kwenye uzinduzi!
Unamaanisha angechaguliwa diamond ndiyo angeteka customers sio[emoji52] [emoji52]
 
Wadau kuna tetesi kwamba msanii nguli wa bongo fleva King Kiba amelipwa pesa za kitanzania zaidi ya 1b katika uzinduzi uliofanyika jana huko Dubai!!

Je hizi tetesi ni za kweli au ndo kick tu za mjini??
View attachment 406926
HAPANA MKUU HAWAWEZI KUMPA HUYU DOGO KIBA HATA MILLION 20, atakufa hapo hapo. Labda amepewa mabilioni ya ZAMBIA
 
Nadhani tecno wanasababu zao za kumchagua ally tusiwakosoe
Kiba HAJAENDA KUPAFOM,ILA KAENDA KAMA WAGENI WENGINE WALIVYOENDA. KAMA MIMI NAONGOPA WEKA LINKI HAPA IKIONGELEA ATAPAFOM AU PICHA/VIDEO AKI PAFOM. ANGALIA HIYO VIDEO KAMA ANAPAFOM HAPO.
 
Acha uzuzu wewe,Kiba HAJAENDA KUPAFOM,ILA KAENDA KAMA WAGENI WENGINE WALIVYOENDA. KAMA MIMI NAONGOPA WEKA LINKI HAPA IKIONGELEA ATAPAFOM AU PICHA/VIDEO AKI PAFOM. ANGALIA HIYO VIDEO KAMA ANAPAFOM HAPO.

Mkuu kwani tatizo nini hatakama hakupafomu lakini Kama ameenda kikazi na mpunga umeingia poa tu!
 
Mkuu kwani tatizo nini hatakama hakupafomu lakini Kama ameenda kikazi na mpunga umeingia poa tu!
Hakuna tatizo mkuu,ila hapa tupo kwenye kuwekana sawa. kuna wanaoamini kuwa alienda ku perfom,sasa kwanza LAZIMA wajue maana wanaonekana hawajui kuwa HAKU PERFOM, ila alienda kama wageni wengine walivyoalikwa.
 
Mkuu kwani tatizo nini hatakama hakupafomu lakini Kama ameenda kikazi na mpunga umeingia poa tu!
Mkuu unabishana na huyo kazi unayo hata itokee nn humshindi ni team d sasa angalia watu wakubishana nae mkuu
 
Back
Top Bottom