Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Labla alitaka kumaanisha hela ya ZimbambweNdugu yangu uwe unafwatilia mambo hata kwa mbali...Zambia pesa yao ina thamani mara mia mbili ukilinganisha na shiling ya TZ...
1.00 ZMW = 217.443 TZS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labla alitaka kumaanisha hela ya ZimbambweNdugu yangu uwe unafwatilia mambo hata kwa mbali...Zambia pesa yao ina thamani mara mia mbili ukilinganisha na shiling ya TZ...
1.00 ZMW = 217.443 TZS
Huyu jamaa ana aleji na kitana!?!?
Umelipwa wewe mwenye hadhi.Ali Kiba hana hadhi ya kulipwa 1bil mngesema 10Mil hapo kidogo inge sound!!
Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
Huyu kijana anajielewa sana sijawi sikia akifanya upumbavu kama huo wakufuja pesa!