Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.