Victor Bravo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 265
- 241
Fid q bhaana alisema wanachowaza si kutengeneza akina ali kiba wawili au akina dimond wawili,ila wanawaza kumshusha mmoja ili mwingine ashine.. Big up the real NgoshaAlikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
Nadhani ulimaanisha mabilioni ya Zimbabwe sio ZambiaHAPANA MKUU HAWAWEZI KUMPA HUYU DOGO KIBA HATA MILLION 20, atakufa hapo hapo. Labda amepewa mabilioni ya ZAMBIA
mhTeam "domo beseni" mbona mmechukia?
Indeed.....watu wapenda kujikweza sanaAli Kiba hana hadhi ya kulipwa 1bil mngesema 10Mil hapo kidogo inge sound!!
Kwani hiyo simu itatumika UEA pekee? Uzinduzi unaweza fanyika popote mkuuKwani Diamond na yeye anatoka wapi? Si Afrika vile vile na wala hana influence yoyote Dubai!!
Ulichokiandika Hapa kinahusiana na mada husika..? Akili za mwanamke bana kama kuku tuAlikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
Dude, nafahamu ninachoongea! Hata ukitaka full video ya huo uzinduzi naweza kukuwekea hapa lakini sikutaka kufanya hivyo kv sikutaka kutibua sherehe za watu! Sababu ya Techno kwenda Dubai is exclusively kuteka soko la Dubai kv soko lake kubwa kama sio lote lipo Africa! Kwahiyo Techno wanatafuta kujitanua!Kwani hiyo simu itatumika UEA pekee? Uzinduzi unaweza fanyika popote mkuu
. May be Kiba alitumika kama the Unique aspect kwa biashara am a anarepresent change. All the same unapaswa kushukuru TZ got the chance. Don't always be personal.
Sasa 10milion si nauli tu ya kwenda na kurudi DubaiAli Kiba hana hadhi ya kulipwa 1bil mngesema 10Mil hapo kidogo inge sound!!
Ndugu yangu uwe unafwatilia mambo hata kwa mbali...Zambia pesa yao ina thamani mara mia mbili ukilinganisha na shiling ya TZ...HAPANA MKUU HAWAWEZI KUMPA HUYU DOGO KIBA HATA MILLION 20, atakufa hapo hapo. Labda amepewa mabilioni ya ZAMBIA
Amekariri anadhani bado ile kwacha ya zamani ya Zambia bado ipo...Nadhani ulimaanisha mabilioni ya Zimbabwe sio Zambia
Acha kujidharirisha mkuu...Yes ni kweli,
ingia kwa milllard Ayo utaipata hiyo habari.