Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.
Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na kuandika "Go Nandy umeangusha matikiti ya watu.
View attachment 2893716
Ikumbukwe kuwa maneno *Matikiti kudondoka" ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Mapozi ambao umeimbwa na Diamond Platinumz.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Naunga mkono hoja kwa 100%, Ali Kiba ni mwanamuziki kweli kweli, na Diamond ni mjasiriamali mzuri.Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Ila ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwaAli Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Kwa Tanzania internet ni bei rahisi sanaHuwa najiuliza hivi na kwa wenzetu mfano wasauzi au wanaija nako haya mambo yako serious kama hivi kweli, yani bongo majungu na fitna kwenye kila tasnia siyo siasa siyo mpira siyo muziki siyo filamu, halafu hapo akihojiwa atakuja kusema hawana beef lolote wanachangamsha game tu
Hajasema hajui kuimba kabisa ilaa kamaanisha alikiba anajua kuimba zaidi kuliko diamond ila sio mjasiriamali na mbunifu mzuri kuliko mondIla ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwa
Utajiri wake unakusaidia nini, watu tunataka mziki mzuri!Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Sawa SawaNi wajinga tuu ndio wanatoa tafsiri hiyo.
Usikwepeshe ndicho alichokusudia ila kwa kuchangamsha yuko sahihiNi wajinga tuu ndio wanatoa tafsiri hiyo.
Nasikitika kuwa umeshindwa Kunielewa.Ila ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwa
Huna Akili.Utajiri wake unakusaidia nini, watu tunataka mziki mzuri!