Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.

Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na kuandika "Go Nandy umeangusha matikiti ya watu.

Screenshot_20240204-094300.jpg

Ikumbukwe kuwa maneno *Matikiti kudondoka" ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Mapozi ambao umeimbwa na Diamond Platinumz.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
View attachment 2893716

Ikumbukwe kuwa maneno *Matikiti kudondoka" ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Mapozi ambao umeimbwa na Diamond Platinumz.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.

Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
 
Huwa najiuliza hivi na kwa wenzetu mfano wasauzi au wanaija nako haya mambo yako serious kama hivi kweli, yani bongo majungu na fitna kwenye kila tasnia siyo siasa siyo mpira siyo muziki siyo filamu, halafu hapo akihojiwa atakuja kusema hawana beef lolote wanachangamsha game tu
 
Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto.

Naunga mkono hoja kwa 100%, Ali Kiba ni mwanamuziki kweli kweli, na Diamond ni mjasiriamali mzuri.
 
Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto.

Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Ila ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwa
 
Huwa najiuliza hivi na kwa wenzetu mfano wasauzi au wanaija nako haya mambo yako serious kama hivi kweli, yani bongo majungu na fitna kwenye kila tasnia siyo siasa siyo mpira siyo muziki siyo filamu, halafu hapo akihojiwa atakuja kusema hawana beef lolote wanachangamsha game tu
Kwa Tanzania internet ni bei rahisi sana
 
Uchambuzi wa wa Tz unashangaza sana...
Mpira: yule ni striker mzuri ila hajui kujiposition...
Mziki: Anajua kuimba ila sio mbunifu / mjasiriamali.
Sema simple tu...
Diamond ni bora kuliko Alikiba.
Haaland ni bora kuliko Nunez
 
Back
Top Bottom