Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
okey!tuma salamu kwa watu watatu usiowajua!
BadoImetosha sasa..
Huwa unaongea point sanaUmeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.
Ila mi huwa nasema ukweli Kiba alirudi kwenye game kupitia domo, na anajua mashabiki wake wengi wako kwake kwa kuwa wanamchukia domo(he z just the altenative), japo si wote ila asilimia kubwa ya mashabiki wa Kiba kwao domo ni adui.
Sasa Kiba kila akikosea ili kuendelea ku waamsha mashabiki wake lazima amtaje domo kama "scape goat" ana shindwa kukiri kuwa yale yalikuwa ni makosa yake ya kubishana mara aanze yeye au wiz kid, pia anashindwa kukiri kuwa ni makosa ya waandalizi wa Tamasha na si Sallam.
*Menejment ya Kiba Tatizo lake ni moja, Kiba ana imanaje badala ya yenyewe i mmenej, lazima watafute namna ya kumshape Kiba ili aendane na ukubwa wa jina lake
*samahan kwa waraka mrefu, bado naamini kuwa Kiba ni msanii mzuri anayekosa vitu vidogo vidogo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]team kiba utawajua tu
Well said, lakini nafikiri tatizo ni kiba na si management. Seven namuona kama ni mdada smart sana kama ni manager wa kiba hili hajaliona? Kwasababu si interview moja anapuyanga bali ni nyingi kama sio zote.Umeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.