Alikiba ana mziki mzuri lakini interview zake husikilizi mara mbili

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Ule usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona leo kwa kweli huyu msanii anahitaji Management. Anajisikia sana anategemea mashabiki sana anasahau hata mitume walisalitiwa na watu "Eti sallam alikuwa backstage"

Huyu jamaa hayupo kibiashara amejidhalilisha sana kwa kuonyesha team ya Diamond ipo vizuri sana kiasi cha kumdhalilisha. Hivi huyo msanii wa Marekani na Alikiba mbona wapo sawa tu? Hakupaswa kurudi jukwaani kuimba.

Ni muda umefika akapata management amabayo inajua ataongea nini atavaa nini alale wapi. Na kama anayo management awafute kazi. Nadhani Alikiba anhitaji msaada haiwezekani aende Kenya bila mtu backstage.
 
Umeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.
Ila mi huwa nasema ukweli Kiba alirudi kwenye game kupitia domo, na anajua mashabiki wake wengi wako kwake kwa kuwa wanamchukia domo(he z just the altenative), japo si wote ila asilimia kubwa ya mashabiki wa Kiba kwao domo ni adui.
Sasa Kiba kila akikosea ili kuendelea ku waamsha mashabiki wake lazima amtaje domo kama "scape goat" ana shindwa kukiri kuwa yale yalikuwa ni makosa yake ya kubishana mara aanze yeye au wiz kid, pia anashindwa kukiri kuwa ni makosa ya waandalizi wa Tamasha na si Sallam.
*Menejment ya Kiba Tatizo lake ni moja, Kiba ana imanaje badala ya yenyewe i mmenej, lazima watafute namna ya kumshape Kiba ili aendane na ukubwa wa jina lake

*samahan kwa waraka mrefu, bado naamini kuwa Kiba ni msanii mzuri anayekosa vitu vidogo vidogo tu.
 
14704963_958640800908717_1407034936891801600_n.jpg
aache kulalamika afanye kazi.
 
Hajaonewa huruma safari hii kiba wetu hshahhhah.. Kachambuliwa km karanga haswa.. Aache kulia lia.
 
Umeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.
Ila mi huwa nasema ukweli Kiba alirudi kwenye game kupitia domo, na anajua mashabiki wake wengi wako kwake kwa kuwa wanamchukia domo(he z just the altenative), japo si wote ila asilimia kubwa ya mashabiki wa Kiba kwao domo ni adui.
Sasa Kiba kila akikosea ili kuendelea ku waamsha mashabiki wake lazima amtaje domo kama "scape goat" ana shindwa kukiri kuwa yale yalikuwa ni makosa yake ya kubishana mara aanze yeye au wiz kid, pia anashindwa kukiri kuwa ni makosa ya waandalizi wa Tamasha na si Sallam.
*Menejment ya Kiba Tatizo lake ni moja, Kiba ana imanaje badala ya yenyewe i mmenej, lazima watafute namna ya kumshape Kiba ili aendane na ukubwa wa jina lake

*samahan kwa waraka mrefu, bado naamini kuwa Kiba ni msanii mzuri anayekosa vitu vidogo vidogo tu.
Huwa unaongea point sana
 
Hii issue ya kudai sallam kazima mic team kiba walidhani itakuwa a big disadavantage kwa diamond as a result upepo unawageukia mdogo Mdogo .... all over the sudden hii issue imemfanya alikiba kuwa a laughing stock .
 
Umeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.
Ila mi huwa nasema ukweli Kiba alirudi kwenye game kupitia domo, na anajua mashabiki wake wengi wako kwake kwa kuwa wanamchukia domo(he z just the altenative), japo si wote ila asilimia kubwa ya mashabiki wa Kiba kwao domo ni adui.
Sasa Kiba kila akikosea ili kuendelea ku waamsha mashabiki wake lazima amtaje domo kama "scape goat" ana shindwa kukiri kuwa yale yalikuwa ni makosa yake ya kubishana mara aanze yeye au wiz kid, pia anashindwa kukiri kuwa ni makosa ya waandalizi wa Tamasha na si Sallam.
*Menejment ya Kiba Tatizo lake ni moja, Kiba ana imanaje badala ya yenyewe i mmenej, lazima watafute namna ya kumshape Kiba ili aendane na ukubwa wa jina lake

*samahan kwa waraka mrefu, bado naamini kuwa Kiba ni msanii mzuri anayekosa vitu vidogo vidogo tu.
Well said, lakini nafikiri tatizo ni kiba na si management. Seven namuona kama ni mdada smart sana kama ni manager wa kiba hili hajaliona? Kwasababu si interview moja anapuyanga bali ni nyingi kama sio zote.
Ujue hata diamond mwanzo mwanzo alikuwa anapuyanga sana kwenye interview, ila nadhani ni mtu anayekubali kukosolewa, anapenda kujifunza na kubadilika.
Bado naamini kiba ni msanii mzuri pia, though am not his fan.
 
Aggh huyo kiba mi ndio nishashukuru mungu ..nitabaki tu kusikiliza macmuga yake basi maana sioni kama anaelekea wapi..
 
Tuseme ukweli tu....Kiba si mwanamuziki na hajawahi kuwa na muziki mzuri japo anabebwa sana ili akubalike ila wapi. Bongofleva hakuna vipaji ila waganga njaa tu.
 
Back
Top Bottom