Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Ule usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona leo kwa kweli huyu msanii anahitaji Management. Anajisikia sana anategemea mashabiki sana anasahau hata mitume walisalitiwa na watu "Eti sallam alikuwa backstage"
Huyu jamaa hayupo kibiashara amejidhalilisha sana kwa kuonyesha team ya Diamond ipo vizuri sana kiasi cha kumdhalilisha. Hivi huyo msanii wa Marekani na Alikiba mbona wapo sawa tu? Hakupaswa kurudi jukwaani kuimba.
Ni muda umefika akapata management amabayo inajua ataongea nini atavaa nini alale wapi. Na kama anayo management awafute kazi. Nadhani Alikiba anhitaji msaada haiwezekani aende Kenya bila mtu backstage.