Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
.Timu domo kaya elimu zero. Eleweni kwanza maana ya neno GOAT ndo mje mlalamike haimaanishi mbuzi jamani
.
Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
GOAT wameanzavkujiita huko mbele so hata huyo FID naye kaiba.Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
" "Greatest Of All Time.Ana maanisha nini?
King kavaa shumizi
Haitofautiani sana na vazi hili.Hiyo aliyovaa sio Night dress jamani?!
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
OkGreat Of All Time ([emoji238])
[emoji3][emoji3]Mbuzi nadhani
Kama wewe ulivyojipachka ' No 1.Hater' kwa Mondi.Ni bongo pekee watu wanajipachika tu vyeo wasivyostahili. Tumeshazoea mkuu,tunaishi kwa style ya raha jipe mwenyewe ukisubiria kupewa utaumia
Kama wewe ulivyojipachka ' No 1.Hater' kwa Mondi.
Hao wala hawa 'HATE' ..Magetoni mwao wanmcheza Mondi Mpaka wanaota viazi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikiwa namba one akina diva ,soudy watakua namba ngapi,acha hizo