Alikiba anajiita GOAT eti

Alikiba anajiita GOAT eti

.
Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
Siyo lazima iwe Dunia kaka pale ulipo mtu huyo kafanya nn...ndo ishu ilipo kafanya nn kwa jamii yake ambacho kinabaki kama alama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hata africa bado haja cross...... vile inavyo stahiki.... unaanzaje kukubali kuwa ni GOAT..kwa mimi GOAT ni yule mtu ambaye amewahi kufanya mambo makubwa extra and different kabisa na wenzake katika comby yao.....kisha akafanikiwa kujulikana na kuwa much influence in the whole world....... isiwe mtu anajulikana tu tz kenya sudan na hapo bujumbura then aanze kujiita GOAT...dunia itakuwa na GOAT wengi wakipuuzi......... itifaki izingatiwe...
Kwa nafasi yake nae ana stahili bwana miaka 17 kwenye industry and he is still there si mchezo muulizeni PNC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GOAT wameanzavkujiita huko mbele so hata huyo FID naye kaiba.
Kwa bongo labda jay dee...professa j...nature na sugu labda kwa kizazi kipya ndio wana hadhi ya kuitwa GOAT....
Hata KIBA bro 17 yrs kwenye game na bado akitoa ngoma watu wanaikimbilia siyo kitu kidogo...kuna watu kumaintain 5 yrs tu shughulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengi mziki hamna, anakipaji ila ndo hivyo tena si mjanja na anamizarau ya kizaman sana
Akili mali
Unataka mziki gani bro?..kwenu mziki hadi migoma ya kukimbia kama nyimbo za kufanyia mazoez gym hahahaaaaa..ana dharau hata kumuona kwa mbali hujawah ukisikia humu na ww una simama "ANA DHARAU" haya tuambie alikufanyia wapi dharau mlipokutana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mziki wa bongo fid anayo hio haki anaelekea miongo miwili kwenye game na hana dalili ya kupotea anytime soon, kiba was great once upon time.
Hahahahahaaaaaaaa jipe moyo ukisema hivyo na Marlaw nae utasemaje?..he still there ndo maana yy kuandika hivyo tu ona tumeacha kazi zetu na wote tunajadili kiba fundi bwana majungu tuweke kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom