Alikiba anajiita GOAT eti

Alikiba anajiita GOAT eti

Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q

Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
Diamond akaiba baba lao, the one na yope safiii maisha yanaendelea

We nawe iba bwana wa dadako hahahaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni fikira hasi...GOAT ni neno ambalo lina wasifu wa Greatest of all time.... hili ni neno halina hati miliki kwa mtu yeyote...hata wewe unaweza ukajiita hivyo..endapo tu kama utajiona kuwa unasifa zinazo stahiki Kuitwa/kujiita hivyo...

Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
Kwa nafasi yake nae ana stahili bwana miaka 17 kwenye industry and he is still there si mchezo muulizeni PNC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio Sawa yeye kujiita great of all time hajaacha alama yoyote ya kukumbukwa kwenye mziki watu Kama Lionel Messi ni sahihi kujiita GOAT kafanya mengi kwenye soka kachukua tuzo za dunia nyingi kulko mchezaji yoyote sasa Huyu wa Tz anaejiita Mbuzi kwa lipi?
Kwa kuipeleka bongofleva mbali kaka nawe unaweza kuwa GOAT kwa ukuwadi yote maisha tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA KAJIITA GOAT YA MBUZI SAWA ILA KWA ILE NYINGINE HUYU PIMBI ANACHANGANYA MAFAILI, HUYU NI Q CHILLAH ANAEBEBWA NA HURUMA YA WATU NA CLOUDS, HANA CHOCHOTE CHA KUITWA GOAT
So CLOUDS na WATU wakakaa kikao jamani eeeeh "TUMHURUMIE HUYUUU" na huruma kwake ikaanza...dah basi CLOUDS na WATU wana hatari sana hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom