Alikiba anajiita GOAT eti

GOAT anapaswa aitwe diamond kwasababu sidhani kwenye mziki wa bongo fleva Kuna mtu au msanii anayemfikia ata kidogo kashiriki award zote kubwa afrika na akuna award kubwa ya afrika ambayo ajapata
 
Kwa hiyo sio ajabu Simba kumla Mbuzi,

Ila itakua kichekesho siku ukiskia Mbuzi amemtafuna Simba.

Sijui mmeelewa?
 
Kwa kizazi hiki kipya wasanii wanaoweza kujiita GOAT ni:
1.Prof Jay.
2.Juma Nature
3.Lady Jay Dee
Wengine bado inabidi wapigane kweli.
 
Mpaka sasa msanii wa tanzania anayeweza kupewa wadhifa wa GOAT ni Platnumz pekeake. We utajiitaje GOAT wakati hupendi showoff, interviews hutaki kuzungumziwa hutaki labda wewe ni GOTI sio GOAT!
Wivu tu huo mkuu
 
Kuna GOAT na G.O.A.T muwe mnatofautisha hapo ndio mtaelewa nini ni kipi
 
ni sahihi hilo neno kutumika vice versa ila likitumika kama anavyojaribu kutushawishi, kabisa hiko ni moja kati ya kicheko kikubwa kuwahi kutoa tangu uhuru upatikane[emoji16][emoji16]
 
Kwa mziki wa bongo fid anayo hio haki anaelekea miongo miwili kwenye game na hana dalili ya kupotea anytime soon, kiba was great once upon time.
 
Huyu naye kumbe anapenda kujipa mashavu kama mwenzake aliyesema kajaza uwanja wa watu 70k
 

GOAT - MBUZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…