playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Basi GOAT wewe kaka hahahaaaaaNaam hapo sasa ndio mahala pake.... mtu kama Tupac. messi.pele. tyger woods. Jordan.wacko jacko. Abraham Lincoln. Socrates. Albert Einstein..Aristotle. Etc
Sio hawa kina Ushuzi.. mabingwa wa drama insta
Na kimsing si kosa kutumia nashangaa MAPOVU YA OMO YAMECHANGANYIKA NA YA WHITEDENTGOAT sio nickname ni kifupi cha GREATEST OF ALL TIME halijaanza kutumika leo mzee...
Kafara la kumrudisha dingi ako atoke kwa KIMADA arudi kwa BI MAZA AKO kweli kabisaMsimnange sana huyu kibakuli alimaanisha yeye ni mbuzi wa kafara
Siyo lazima iwe Dunia kaka pale ulipo mtu huyo kafanya nn...ndo ishu ilipo kafanya nn kwa jamii yake ambacho kinabaki kama alama..
Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
Kwa nafasi yake nae ana stahili bwana miaka 17 kwenye industry and he is still there si mchezo muulizeni PNC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata KIBA bro 17 yrs kwenye game na bado akitoa ngoma watu wanaikimbilia siyo kitu kidogo...kuna watu kumaintain 5 yrs tu shughuluGOAT wameanzavkujiita huko mbele so hata huyo FID naye kaiba.
Kwa bongo labda jay dee...professa j...nature na sugu labda kwa kizazi kipya ndio wana hadhi ya kuitwa GOAT....
Unataka mziki gani bro?..kwenu mziki hadi migoma ya kukimbia kama nyimbo za kufanyia mazoez gym hahahaaaaa..ana dharau hata kumuona kwa mbali hujawah ukisikia humu na ww una simama "ANA DHARAU" haya tuambie alikufanyia wapi dharau mlipokutana kakaManeno mengi mziki hamna, anakipaji ila ndo hivyo tena si mjanja na anamizarau ya kizaman sana
Akili mali
Mtume ROHO YANGU.Haitofautiani sana na vazi hili.View attachment 1288309
Unamkosea sana mtaalam kiti-fire kwa sababu yeye alinganishwi na chochoteWacha tu wajiite goat[emoji238]
Cow[emoji202]
Sheep[emoji207]
Kitimoto [emoji200]
n.k
Kwamba?GOAT anapaswa aitwe diamond kwasababu sidhani kwenye mziki wa bongo fleva Kuna mtu au msanii anayemfikia ata kidogo kashiriki award zote kubwa afrika na akuna award kubwa ya afrika ambayo ajapata
Masimba mengine mashoga bro kuwa makiniKwa hiyo sio ajabu Simba kumla Mbuzi,
Ila itakua kichekesho siku ukiskia Mbuzi amemtafuna Simba.
Sijui mmeelewa?
Kama babaako yupo kwa kimada sio jambo zuri kuja kutangaza mitandaoniKafara la kumrudisha dingi ako atoke kwa KIMADA arudi kwa BI MAZA AKO kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza kucheza ngoma zake tangu hamchagui PA KUNYA hadi now mnacheza to me hi IS.ni sahihi hilo neno kutumika vice versa ila likitumika kama anavyojaribu kutushawishi, kabisa hiko ni moja kati ya kicheko kikubwa kuwahi kutoa tangu uhuru upatikane[emoji16][emoji16]
Hahahahahaaaaaaaa jipe moyo ukisema hivyo na Marlaw nae utasemaje?..he still there ndo maana yy kuandika hivyo tu ona tumeacha kazi zetu na wote tunajadili kiba fundi bwana majungu tuweke kuleKwa mziki wa bongo fid anayo hio haki anaelekea miongo miwili kwenye game na hana dalili ya kupotea anytime soon, kiba was great once upon time.
Huyu kajiita G O A T haishabihiani na yule mualikwa aliyejimilikisha showHuyu naye kumbe anapenda kujipa mashavu kama mwenzake aliyesema kajaza uwanja wa watu 70k
Ambapo kuna raisi wa wapuuzi anamlikia kila mwaka akapige show afu huyu king wa wajinga anakataa kitendo kinachofanya WAPUUZI na RAIS wao wamchukie.Kibamia yule king wa wajinga ote tanzania