Alikiba anajiita GOAT eti

Hiyo ya WORLD ndo tunapopishana mzee kama hivyo manake bongo hakuna G O A T siyo kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marlaw great of all time mzee baba ? Tuwe sirias kidogo asee great of all time hata akiacha leo mziki his legacy i ll survive generations alikiba hawez akawa .A.T labda awe mbuzi tu
Hahahahahaaaaaaaa jipe moyo ukisema hivyo na Marlaw nae utasemaje?..he still there ndo maana yy kuandika hivyo tu ona tumeacha kazi zetu na wote tunajadili kiba fundi bwana majungu tuweke kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa msanii wa tanzania anayeweza kupewa wadhifa wa GOAT ni Platnumz pekeake. We utajiitaje GOAT wakati hupendi showoff, interviews hutaki kuzungumziwa hutaki labda wewe ni GOTI sio GOAT!
King ashajiita GOTI kitambo sema apendag show off 2 [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…