Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Mzee wa fitna Mkubwa Fela anahusika hapa. Haiwezekani wasanii wote watumie microphone hiyohiyo kwa Ali Kiba izime. Kwanza meneja wa Diamond Jana alienda Mombasa sasa tumeshajua kilichompeleka.
 
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo

Ali Kiba, Chris Brown na Wiz Kid wote wamelipwa hela sawa. Na Leo asubuhi walikuwa wote pamoja wanakunywa chai.
 
Hahahahahahhqhq mtanyooka tu
 
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo
Diamond,chrisbrown...
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] achen ujinga
 
Ali Kiba, Chris Brown na Wiz Kid wote wamelipwa hela sawa. Na Leo asubuhi walikuwa wote pamoja wanakunywa chai.
Acha uongo basi mkuu? Kwa taarida yako chriss brown bila mil. 200 hujamtoa marekani kuja huku hapo mbali na gharama za timu yake ya watu 21 tena unapanda private jet.
Alikiba na chriss brown wamelipwa sawa? Mambo mengine huuoni aibu kusema
Juzi juzi hokuhuko mombasa diamond alilipwa mil.5 za kwenya uku kiba akilipwa 3.
 
Ilikuwa bei gan kiingilio
 
Hao waandaji sidhani kama wana utimamu wa akili... Mtu anaimbia puani tena kwa playback anapandaje jukwaa moja na magwiji hao.

haina shida lakini,,, mpunga kavuta.
 
Tickets zilinunuliwa na wajanja na kuuzwa kwa bei ya juu sana... King kiba ana mashabiki wengi sana Mombasa walioandaa wakaona busara amalize kwanza CB maana shangwe la kiba ilikuwa balaa... Mondi analijua hilo
 
Nikikuwekea video hapa utaona aibu watu walikuwa kimya kama wapo msibani
 
Kwa pesa mnazosema wanalipwa nadhani ingeanzishwa wizara ya muziki kabisa maana wasanii ni mabilionea
 
Mzee wa fitna Mkubwa Fela anahusika hapa. Haiwezekani wasanii wote watumie microphone hiyohiyo kwa Ali Kiba izime. Kwanza meneja wa Diamond Jana alienda Mombasa sasa tumeshajua kilichompeleka.
Ahahaaaaaah...
Naona umeconnect dots mkuu..!
Nafikiri Sallam anahusika katika MPUYANGO wa Mombasa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…