George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Za kuambiwa changanyaga na zako..!Nyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kuambiwa changanyaga na zako..!Nyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo
Hahahahahahhqhq mtanyooka tuMzee wa fitna Mkubwa Fela anahusika hapa. Haiwezekani wasanii wote watumie microphone hiyohiyo kwa Ali Kiba izime. Kwanza meneja wa Diamond Jana alienda Mombasa sasa tumeshajua kilichompeleka.
Diamond,chrisbrown...Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo
Acha uongo basi mkuu? Kwa taarida yako chriss brown bila mil. 200 hujamtoa marekani kuja huku hapo mbali na gharama za timu yake ya watu 21 tena unapanda private jet.Ali Kiba, Chris Brown na Wiz Kid wote wamelipwa hela sawa. Na Leo asubuhi walikuwa wote pamoja wanakunywa chai.
Ilikuwa bei gan kiingilioBaada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za mackmuga na aje na waandaji kumshusha ili chriss brown apande stegin
View attachment 414811
Chriss brown alitumbuiza kwa masaa 2 mfululizo.
Hata hivo kitendo hicho hakikufurahisha Alikiba ndipo waandaji walipomtuliza kwa kumpandisha tena stegin baada ya chriss brown kumaliza show yake.
Kifupi show haikudhuriwa na watu wengi kama ilivyotarajiwa wengi wakilaumu kiingilio
HahahahahahahaDiamond amelipwa 90M na hajaenda kabisa.. Malizia basi.....
sio mbao fc mkuu.?Coastal union
Chai kavu mkuu haina hata kiungo chochote.Nyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
Nikikuwekea video hapa utaona aibu watu walikuwa kimya kama wapo msibaniTickets zilinunuliwa na wajanja na kuuzwa kwa bei ya juu sana... King kiba ana mashabiki wengi sana Mombasa walioandaa wakaona busara amalize kwanza CB maana shangwe la kiba ilikuwa balaa... Mondi analijua hilo
Hahaah kumbe hua anapachikwa. Well said.Sio kweli huwa sileti uzushi humu, diamond hausiki apa
Kama ujui gavana wa mombasa na alikiba ni washkaji kila event ya mombosa huwa anampachika.
Ahahaaaaaah...Mzee wa fitna Mkubwa Fela anahusika hapa. Haiwezekani wasanii wote watumie microphone hiyohiyo kwa Ali Kiba izime. Kwanza meneja wa Diamond Jana alienda Mombasa sasa tumeshajua kilichompeleka.
Si alishaama Mbao fc, sasahv yupo Coastal union naskia anataka kurudi kwenye timu yake ya zamani ya shelisheli kama itapanda daraja.sio mbao fc mkuu.?