Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Hao waandaji sidhani kama wana utimamu wa akili... Mtu anaimbia puani tena kwa playback anapandaje jukwaa moja na magwiji hao.

haina shida lakini,,, mpunga kavuta.
Kipaji mkuu, alikua anawasalimia tu mashabiki kalamba mil.150 je angeimba albam yote?
 
Kiba alionekana kama vile anachelewesha kilichowatoa watu majumbani kwao..so ikabidi azimiwe mic Chris brown apande maana waliokuja walikuja kumuona Chris...jamaa alivyozimiwa mic aliaibika sana...nlikuwepo pale jana
 
Chuki ni ugonjwa hatari sana kwa Moyo wa mwanadamu.
 
Wivu unawasumbua, pendeni cha kwenu, nilijua sauti imegoma kutoka kumbe ni mic?? Mshiko wake uko palepale huku wengine hatujapata kitu tunabaki tunasugua keyboard
 
Kiba anaongoza kudandia shoo za watu na hip nibkutokana promote wake kubembeleza wandaaji wa shoo ili kiba apige anajiaibisha huezi ukapiga shoo 2 kwa mda wa wiki mbili watu lazima watakuchoka haraka hats kama una nyimbo nzuri Mr nice na afande sele walichokwa mapema kwa sababu walikua wanapiga shoo 7 kwa wiki tena jiji la dar tu
 
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo
Chris kalipwa Kshs 90ml
 
I had such high hopes for him but it
seems like he's just another ridiculous punk!!!
 
Tickets zilinunuliwa na wajanja na kuuzwa kwa bei ya juu sana... King kiba ana mashabiki wengi sana Mombasa walioandaa wakaona busara amalize kwanza CB maana shangwe la kiba ilikuwa balaa... Mondi analijua hilo
Shoo itangazwe kwa jina la msanii mwingine yy aende adandia shoo za watu ilimradi wamlipia nauli navkuekwa hotelini
 
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo

Wapi wameandika source ya kuaminika tusome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…