Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kitamboZa kuambiwa changanyaga na zako..!
Sidhani kama wiz kalipwa mils 80 tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] mil.150? Jidanganyeni hivo hivo, wizkid mwenyewe kalipwa mil.80 alafu kiba ndo alipwe 150?
Kipaji mkuu, alikua anawasalimia tu mashabiki kalamba mil.150 je angeimba albam yote?Hao waandaji sidhani kama wana utimamu wa akili... Mtu anaimbia puani tena kwa playback anapandaje jukwaa moja na magwiji hao.
haina shida lakini,,, mpunga kavuta.
mnapenda kujilisha upepo. eti milion 150?Nyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
Unaona nyiiiinmgi wakati wenzio hizo ni za madafumnapenda kujilisha upepo. eti milion 150?
sio kwa huyo kibakuli wenu.Unaona nyiiiinmgi wakati wenzio hizo ni za madafu
Kiba anaongoza kudandia shoo za watu na hip nibkutokana promote wake kubembeleza wandaaji wa shoo ili kiba apige anajiaibisha huezi ukapiga shoo 2 kwa mda wa wiki mbili watu lazima watakuchoka haraka hats kama una nyimbo nzuri Mr nice na afande sele walichokwa mapema kwa sababu walikua wanapiga shoo 7 kwa wiki tena jiji la dar tuBaada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za mackmuga na aje na waandaji kumshusha ili chriss brown apande stegin
View attachment 414811
Chriss brown alitumbuiza kwa masaa 2 mfululizo.
Hata hivo kitendo hicho hakikufurahisha Alikiba ndipo waandaji walipomtuliza kwa kumpandisha tena stegin baada ya chriss brown kumaliza show yake.
Kifupi show haikudhuriwa na watu wengi kama ilivyotarajiwa wengi wakilaumu kiingilio
Chris kalipwa Kshs 90mlAlikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo
Sana akilipwa pesa nyingi ni sh ml 5 kiba ilimradi anapiga shoo aonekaneNyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
King kiba apaaaaaa
Shoo itangazwe kwa jina la msanii mwingine yy aende adandia shoo za watu ilimradi wamlipia nauli navkuekwa hoteliniTickets zilinunuliwa na wajanja na kuuzwa kwa bei ya juu sana... King kiba ana mashabiki wengi sana Mombasa walioandaa wakaona busara amalize kwanza CB maana shangwe la kiba ilikuwa balaa... Mondi analijua hilo
Ndio kesha zikunja sasa mimi na wewe tunabishana yeye anafanya matumizi saivisio kwa huyo kibakuli wenu.
Alikiba kapata m5 cash
Na hakuwa na mandaliz ndo mana wakamshusha kwa. Waliofatilia cris alipanda na akatumia mic ambayo kiba imemshinda
Na watu walikiwa wakawaida tu nadhan wangempeleka dimond wangejaa sana na shoo ingekuwa poa sana kodooooo