Lipuli MkuuKwani alikiba anachezea timu gan???
Mkuu hzo mil 5 na 3 ni za kenya au tz? Kama za tz kumbe wasanii wetu wako cheap hvo? Au umekosea kutype,Acha uongo basi mkuu? Kwa taarida yako chriss brown bila mil. 200 hujamtoa marekani kuja huku hapo mbali na gharama za timu yake ya watu 21 tena unapanda private jet.
Alikiba na chriss brown wamelipwa sawa? Mambo mengine huuoni aibu kusema
Juzi juzi hokuhuko mombasa diamond alilipwa mil.5 za kwenya uku kiba akilipwa 3.
KSH 5 Million ni zaidi ya TZS 100 Million... ni Watanzania wangapi wanatengeneza hiyo pesa kati maisha yao yote ya kuwa hapa duniani?Mkuu hzo mil 5 na 3 ni za kenya au tz? Kama za tz kumbe wasanii wetu wako cheap hvo? Au umekosea kutype,
hilo suala muulize Nape nnauyeSasa kwanini walimshusha?? Kwani nao wanang'oa viti?
Uzuri ni kwamba hakuimba bure hata izo mbili zinatosha
huu mchezo hauhitaji hasira..
Alikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4HAYA HAPA NI MALIPO KWA WASANII WALIO PERFOM JANA KWENYE SHOW YA CHRISS BROWN ILIYOFANYIKA MOMBASA,NA UKIANGALIA UTAONA KUWA MALIPO YA "KING" WETU YAPO SAWA NA VANESSA MDEE. ACHENI KELELE ONENI FACTS. KIINGILISHI KIKIKUSUMBUA UNIAMBIE NIKUSAIDIE .
How Much Money Various Artists Were Paid At The Chris Brown Event Mombasa Rocks Festival – Poyesa – Kenya Daily News
Basi ata Alikiba wamempunja maana show iliyopita alipewa mil 3. Nazani hii show hawa wasanii wengine wamepelekwa kama wasindikizaji tu huku Chris Brown akiwa main man kama ilivokuwa, inajulikana wizkid ni mshkaji wa brizzy so akaletwa nayeye kumpa campan msela wakeAlikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4
Apa kwa wizkid wamempunja maana diamond show iliopita alilipwa mil5