Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Watu hamuamini mnataka awe anawaita hadi zinavyoingizwa ktk akaunti yake?
 
Huyo Havana rafiki yake ajaribu kumuandalia shoo ya kwake wampigie promo na matangazo a one kama hapati Basara ya mwaka
 
Wanaoshadadia kuzimika kwa mic wote ni maskopioni.
 
Wanaume wa dar katika ubora wenu endeleeni kujadili tu
 
Kina anajulikana sana mombasa kwa hio bila yeye hakuna show
 
Uwepo wa kiba tu ni pesa kashaingiza... big up king of good music
 
Acha uongo basi mkuu? Kwa taarida yako chriss brown bila mil. 200 hujamtoa marekani kuja huku hapo mbali na gharama za timu yake ya watu 21 tena unapanda private jet.
Alikiba na chriss brown wamelipwa sawa? Mambo mengine huuoni aibu kusema
Juzi juzi hokuhuko mombasa diamond alilipwa mil.5 za kwenya uku kiba akilipwa 3.
Mkuu hzo mil 5 na 3 ni za kenya au tz? Kama za tz kumbe wasanii wetu wako cheap hvo? Au umekosea kutype,
 
Mkuu hzo mil 5 na 3 ni za kenya au tz? Kama za tz kumbe wasanii wetu wako cheap hvo? Au umekosea kutype,
KSH 5 Million ni zaidi ya TZS 100 Million... ni Watanzania wangapi wanatengeneza hiyo pesa kati maisha yao yote ya kuwa hapa duniani?
 
HAYA HAPA NI MALIPO KWA WASANII WALIO PERFOM JANA KWENYE SHOW YA CHRISS BROWN ILIYOFANYIKA MOMBASA,NA UKIANGALIA UTAONA KUWA MALIPO YA "KING" WETU YAPO SAWA NA VANESSA MDEE. ACHENI KELELE ONENI FACTS. KIINGILISHI KIKIKUSUMBUA UNIAMBIE NIKUSAIDIE .

How Much Money Various Artists Were Paid At The Chris Brown Event Mombasa Rocks Festival – Poyesa – Kenya Daily News
Alikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4
Apa kwa wizkid wamempunja maana diamond show iliopita alilipwa mil5
 
Alikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4
Apa kwa wizkid wamempunja maana diamond show iliopita alilipwa mil5
Basi ata Alikiba wamempunja maana show iliyopita alipewa mil 3. Nazani hii show hawa wasanii wengine wamepelekwa kama wasindikizaji tu huku Chris Brown akiwa main man kama ilivokuwa, inajulikana wizkid ni mshkaji wa brizzy so akaletwa nayeye kumpa campan msela wake

so hawa wengine ukitaka perform ukitaka acha, na wasanii km kiba na Vanessa nahisi kimewapeleka kutafuta connection tu kwa wiz na brizzy, maana kiba kafanya show huko ata mwez haujaisha anarudi tena na kulipwa kiduchu tofauti na malipo ya kwanza
 
Back
Top Bottom