Inategemea na maelewano mkuu,maana hata huyo "king" wetu kule si alipata 3m,mbona leo kapata 2m sawa na V. money.Alikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4
Apa kwa wizkid wamempunja maana diamond show iliopita alilipwa mil5
Ahahaaaaaaah...HAYA HAPA NI MALIPO KWA WASANII WALIO PERFOM JANA KWENYE SHOW YA CHRISS BROWN ILIYOFANYIKA MOMBASA,NA UKIANGALIA UTAONA KUWA MALIPO YA "KING" WETU YAPO SAWA NA VANESSA MDEE. ACHENI KELELE ONENI FACTS. KIINGILISHI KIKIKUSUMBUA UNIAMBIE NIKUSAIDIE .
How Much Money Various Artists Were Paid At The Chris Brown Event Mombasa Rocks Festival – Poyesa – Kenya Daily News
brave one umecheka ki unaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuuuhh kavuta mpunga [emoji33]HAYA HAPA NI MALIPO KWA WASANII WALIO PERFOM JANA KWENYE SHOW YA CHRISS BROWN ILIYOFANYIKA MOMBASA,NA UKIANGALIA UTAONA KUWA MALIPO YA "KING" WETU YAPO SAWA NA VANESSA MDEE. ACHENI KELELE ONENI FACTS. KIINGILISHI KIKIKUSUMBUA UNIAMBIE NIKUSAIDIE .
How Much Money Various Artists Were Paid At The Chris Brown Event Mombasa Rocks Festival – Poyesa – Kenya Daily News
Team Kiba nao....kwakujiliwaza hamjambo!Uzuri ni kwamba hakuimba bure hata izo mbili zinatosha
huu mchezo hauhitaji hasira..
It's normal ktk industry ya music show pakiwa na aliekuzidi basi ujue kuaibika ni sekundeKiba alionekana kama vile anachelewesha kilichowatoa watu majumbani kwao..so ikabidi azimiwe mic Chris brown apande maana waliokuja walikuja kumuona Chris...jamaa alivyozimiwa mic aliaibika sana...nlikuwepo pale jana
Una dada lakiniTeam Kiba nao....kwakujiliwaza hamjambo!
Inawezekana una chuki dhidi ya huyo Ali Kiba...Baada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za mackmuga na aje na waandaji kumshusha ili chriss brown apande stegin
View attachment 414811
Chriss brown alitumbuiza kwa masaa 2 mfululizo.
Hata hivo kitendo hicho hakikufurahisha Alikiba ndipo waandaji walipomtuliza kwa kumpandisha tena stegin baada ya chriss brown kumaliza show yake.
Kifupi show haikudhuriwa na watu wengi kama ilivyotarajiwa wengi wakilaumu kiingilio
Mkuu nadhani umekurupa au ujafuatilia vizuriInawezekana una chuki dhidi ya huyo Ali Kiba...
Ila kusema kwamba aliimba nyimbo 2 akashushwaa ni uongo...Unatenda dhambi...
Mbona aliimba karibu nyimbo zake zote maarufu...MacMuga..Aje..Single Boy...Chekecha..Mwana n.k
Video hii hapa chini inatofautiana na ulichokiwek...
Sasa nimekurupuka nini hapo?...Mkuu nadhani umekurupa au ujafuatilia vizuri
Alikiba aliimba nyimbo 2 wakamshusha akapanda chriss brown baada ya chriss brown kumaliza masaa yake 2 kutumbuiza ndo akapanda tena alikiba na hizo nyimbo unazoziona
NOTE: kabla hujajibu kitu usicho na uhakika nacho jaribu kufuatilia upate habari kamili sio kukurupuka.
Mkuu soma tena badiko hapo chini mbona nimeandika kiba alirudi tena stegini au hujasoma bandiko lote? Soma kwa makini usitangulize hisia mkuuSasa nimekurupuka nini hapo?...
Kuweka video ya Ally Kiba akiimba Mombasa ni kukurupuka?..
Mimi nimejaribu kuweka records sawa..Hakuna sehemu muanzisha thread amesema Ally Kiba aliimba nyimbo zaidi ya mbili...
Mtu akisoma hili bandiko alilileta muanzisha thread moja kwa moja anapata jibu kwamba Ali Kiba aliimba nyimbo 2 tu akashushwa...Kwamba hakupata nafasi ya kuimba nyimbo zaidi ya 2...
Na hata huyo muanzisha thread angekuwa na nia nzuri angesema kwamba Ali Kiba alirudi baadae akaimba tena.