Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Alikiba na vanessa kila mmoja amelipwa mil.2 huku wizkid akilipwa mil 4
Apa kwa wizkid wamempunja maana diamond show iliopita alilipwa mil5
Inategemea na maelewano mkuu,maana hata huyo "king" wetu kule si alipata 3m,mbona leo kapata 2m sawa na V. money.
 
huyu kiba atakua ana gundu,si bure,mbona mic haikugoma kwa chris brown
 
Namshauri aongeze juhudi atafika tu alipokuwa Nassib Abdul ha ha haaaaaaaaaa.........
 
alishushwa hatujui makubaliano yao ilikuwa apige nyimbo ngapi na time pia ndo maaana mtu mzima breeezy akapanda kuzima kwa mic hapoooo Raykidd
 
Kiba alionekana kama vile anachelewesha kilichowatoa watu majumbani kwao..so ikabidi azimiwe mic Chris brown apande maana waliokuja walikuja kumuona Chris...jamaa alivyozimiwa mic aliaibika sana...nlikuwepo pale jana
It's normal ktk industry ya music show pakiwa na aliekuzidi basi ujue kuaibika ni sekunde
 
Baada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za mackmuga na aje na waandaji kumshusha ili chriss brown apande stegin
View attachment 414811
Chriss brown alitumbuiza kwa masaa 2 mfululizo.
Hata hivo kitendo hicho hakikufurahisha Alikiba ndipo waandaji walipomtuliza kwa kumpandisha tena stegin baada ya chriss brown kumaliza show yake.
Kifupi show haikudhuriwa na watu wengi kama ilivyotarajiwa wengi wakilaumu kiingilio
Inawezekana una chuki dhidi ya huyo Ali Kiba...

Ila kusema kwamba aliimba nyimbo 2 akashushwaa ni uongo...Unatenda dhambi...

Mbona aliimba karibu nyimbo zake zote maarufu...MacMuga..Aje..Single Boy...Chekecha..Mwana n.k

Video hii hapa chini inatofautiana na ulichokiwek...

Mkuu nadhani umekurupa au ujafuatilia vizuri
Alikiba aliimba nyimbo 2 wakamshusha akapanda chriss brown baada ya chriss brown kumaliza masaa yake 2 kutumbuiza ndo akapanda tena alikiba na hizo nyimbo unazoziona
NOTE: kabla hujajibu kitu usicho na uhakika nacho jaribu kufuatilia upate habari kamili sio kukurupuka.
 
Sasa nimekurupuka nini hapo?...

Kuweka video ya Ally Kiba akiimba Mombasa ni kukurupuka?..

Mimi nimejaribu kuweka records sawa..Hakuna sehemu muanzisha thread amesema Ally Kiba aliimba nyimbo zaidi ya mbili...

Mtu akisoma hili bandiko alilileta muanzisha thread moja kwa moja anapata jibu kwamba Ali Kiba aliimba nyimbo 2 tu akashushwa...Kwamba hakupata nafasi ya kuimba nyimbo zaidi ya 2...

Na hata huyo muanzisha thread angekuwa na nia nzuri angesema kwamba Ali Kiba alirudi baadae akaimba tena.
 
Mkuu soma tena badiko hapo chini mbona nimeandika kiba alirudi tena stegini au hujasoma bandiko lote? Soma kwa makini usitangulize hisia mkuu
 
Back
Top Bottom