Alikiba apata dili la billion kumi

Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.

Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la mipasho dhidi ya Alikiba:

1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.

2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.

3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.

4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa inamvuruga hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.

Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishangaa nikajua tiaraei yetu ishamtembelea na kumpa hesabu tokea 1987 alipozaliwa kodi hajalipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mond na mashabiki zake akili zenu zina dosari,haiwezekani ukamtaja mond hapa,anahusikaje au ni dalari wa hii dili???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu upendo wa watu wa mombasa huwa na ukakasi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hivi Joho si ndo Gavana wa Mombasa?
Bahati nzuri naskia wakiendaga kule na yule bwana wanapakwa mafuta
So kuongwa nyumba na pesa naona inamfaa tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
ndo keshalipwa sana.mbona mond aliwalipa?

Kutaka kutoa mwimbo na kutundanganya sasa hiyo inavuka mikapa na kuboa.

Huyo Mond kwanza ameombwa ampaishe nyie mnaingia mkenge tu... maisha ya wasanii na mabosi wo waachie wao... meneja kawa karibu na waleeeee wakio karibu na Mondi mwaka huu... ukiangalia nje ya box kuna mengi... acha wapaishane.. Mondi kweli hana roho mbaya ingawa anapotezea ya kubabikizwa na watu amewapata hapo pia.
 
Kumbe inasemekana [emoji28][emoji28][emoji28]
 
hii comment iko kwenye thread zaidi ya tatu!, kwa mtazamo wangu ndiyo comment iliyofanya collabo kuliko nyingine tanzania kwa 2017.
 
Huyo alompa mwenyewe hio bilioni kumi hana!!acheni uongo alikiba anatembelea nyota ya diamond, mziki hana hamu nao tena ila nyie wenye chuki na mafanikio ya diamond ndio mnampush!
 
Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.

Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
Kumbe ndio maana domo anachonga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…