Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
KolaboP Square wamlipe ili wapate nini na EA wanajulikana sana tangu... Embu tujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KolaboP Square wamlipe ili wapate nini na EA wanajulikana sana tangu... Embu tujuze
Umemrithi Msaga Sumu?inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa
huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
![]()
Ha ha eti P square wananunua Collabo kwa Ali.! utani wa ngumi huuP Square wamlipe ili wapate nini na EA wanajulikana sana tangu... Embu tujuze
Sasa kama hauna cha kuonesha utafanyaje?Raha ya huyu jamaa hana maisha ya show off za kupuuzi kama domo kaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tofauti ya Collabo na featuring?Ha ha eti P square wananunua Collabo kwa Ali.! utani wa ngumi huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilishangaa nikajua tiaraei yetu ishamtembelea na kumpa hesabu tokea 1987 alipozaliwa kodi hajalipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mond na mashabiki zake akili zenu zina dosari,haiwezekani ukamtaja mond hapa,anahusikaje au ni dalari wa hii dili???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.
Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la mipasho dhidi ya Alikiba:
1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.
2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.
3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.
4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa inamvuruga hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.
Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kuliko wewe, ndio maana nashangaa P square kumlipa Kiba, Yaani inamaanisha wao ndio watanufaika kuliko Kiba? Alafu wimbo wa kwao wote! Maajabu
Inaonekana anamkaribia kwa kasi ya ajabu,ndo maana diamond ameanza uswahili.Bado hatakuja hata kumkaribia Mondi. Hongera kwake lakini. [HASHTAG]#Fresh[/HASHTAG]
ndo keshalipwa sana.mbona mond aliwalipa?
hii comment iko kwenye thread zaidi ya tatu!, kwa mtazamo wangu ndiyo comment iliyofanya collabo kuliko nyingine tanzania kwa 2017.Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.
Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la mipasho dhidi ya Alikiba:
1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.
2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.
3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.
4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa inamvuruga hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.
Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana domo anachonga...Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.
Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
![]()