AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
- Thread starter
- #21
Kwanza hizi tuzo sio kubwa hata...ww jiulze wasanii kama sauti sol hawapo katika tuzo za nchini kwao....hzo tuzo au midori
Saut sol wamebeba kama Best group of the year
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hizi tuzo sio kubwa hata...ww jiulze wasanii kama sauti sol hawapo katika tuzo za nchini kwao....hzo tuzo au midori
Asfa awards za wapi somalia au
Ngojeni Nchi mbalimbalimbali barani Africa na nje ya bara Afrika,tutasikia kuhusu Diamond Platnumz.Si tulimnyooshaga #Pryanga Chopra.Now Diamond msanii wa Ulimwenguni kote.
UTANIPENDAGA??
Nitakuwa nimejua kuwa kumbe kijamaa kina fedha chafu kafikia uwezo wa KUNUNUA TUZO.halafu ukishajua iweje?
Tuzo za Fashion haaaah duh mmeamza vizia tuzo za fashion kutoka kwny mziki hadi fashion pwilo kweli king anamendea tuzo za fashion
Hivi huyo Copra ana wimbo gani? Mtu ni actress wa movie lakin akashindana na mwimbaj wa mziki, huo kama sio ukichaa ni nini??
Ndio tatizo la Vijana mnaofatilia mziki kupitia instagram! Ngoja nikuoe elimu kidogo ya uraia.
Mziki si kuimba tu na beat, video na vocal, mziki ni fashion, yani msanii yeyote ni Fashion stylish, ndiomana kuna wasanii huwa wanaingia mkataba na makampun makubwa ya fashion na kuwavalisha sababu fashion ni sehem ya mziki.
Msanii unapofanya vizuri kwenye video zako, ngoma inapohit, hapo hadi fashion ya dressing code uliyoitumia automatically inakuwa imehit pia.
Ukifanya vibaya kwenye game hakuna mtu atakayependa hata style yako ya uvaaji.
Ndiomana utaona hata msanii wako Diamind aliwahi kushindanishwa kwny tuzo za fashion ghana.
Usipoelewa hapo nenda ukasikilize ile kaswida yenu ya jana, je utanipendwaga?
Tupe updates za asfa awards zishafanyika au bado
Cc Kidingi
Kibaa hamfikiii diamonds hata punjeee
Ukweli ndio huu.
Diamond amejulika sababu ya Zari ila sio muziki wake.
Kumbuka Zari anajulikana sana S.A, Nigeria na U.K ambako amesomea na pia ana maduka ya fashion.
Pia scandals zimechangia umaarufu wake. Ni njia moja ya kuwa relevant katika hii game.
Wapo wanaojiset hata kutoa sex video zao online ndio watrend. Diamond ana kashfa nyingi za kubadilisha mademu.
Wapo wasanii wazuri kumshinda Diamond au lakini sababu hawapendi scandals wapo chini ya maji!
Hongera sana,
#KingKiba4Real#
ASFA award diamond na zari wameshinda tuzo ya best east africa stylish couple , akiwashinda vanesa na jux , jokate na kiba, huku best east africa male stylish ameshinda eddy kenzo kwa kuwapiku mond na kiba