Alikiba Ashinda tuzo kubwa za Nzumari Awards za nchini Kenya

mambo mengine muone aibu kumtaja diamond kuna watu hawalali na wengine wanaumwa kisa president dangote
 
Inamaana daimond kuna mtu ambaye hajamuelewa kweli miaka yote hii ! Dai anaujua huu mziki axheni masihala, ukitaka kuamini subilini ngoma nyingine inayokuja baada ya hii ya utanipenda
 

wewe ni chizi...!kwani diamond kaanza kupasua lini na huyo zari kaanza kutoka nae lini?diamond kimsingi ameanza kutoboa kimataifa hasa alipotoka na number one...sasa jiulize wakati number one inahit tayari alishakuwa na mahusiano ya wazi(if any) na zari?

umeharibikiwa!
 

Video ya No.1 ilifanywa na Ogopa Vedios ya Kenya lakini ilifanyiwa South Africa ambapo kipindi hicho ndicho MUNGU wako Diamond alionana na GODESS wako ZARI. Upo?

Plus hiyo nyimbo, si ya kuiba tu!
 

Khaaa....
 

Achaga uongo et kamgaragaza diamond thubutu huyu mwenzako vipi pwilo ana muwaza diamond tu tuzo mond akuwepo yeye anasema alikuwepo
 

Attachments

  • 1450160431963.jpg
    37.5 KB · Views: 134
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…