innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 748
Hahhhahahaahahaah ntakupigia namba yako ninayo mkuuJamaa mmoja, kazaa na mwanamke kisha wakamwita mtoto wao Innocent Mollel
Mkuu utapoteza muda wako bure kubishana na mtu anaeleta utimu, huyu jamaa hajawahi kuona jema kutoka kwa kiba, ye akiona tu uzi unaohusu kiba razima aje kujaza server na majungu yake. Diamond ana fan page humu jf badala ye akaitumie ile kutuma hizo shows, au mambo mengine yanayomuhusu diamond au kuanzisha uzi mpya ila hadi asubili tu uzi wa kibaManeno yako yame jaa chuki kidogo lakini tuyaache hayo maana mada hapa ni kuhusiana na kinacho endelea na si kilicho wahi kutokea...kwa uelewa wangu kutokana na maandishi yako inaonekana kilicho kuumiza wewe ni muda wa Alikiba kutoa tamko, kwamba "ULIVYO KUA UNATAKA WEWE" ni atoe tamko kipindi mashabiki ambao kulingana na pande zote mbili (ambao hawaja julikana ni wa nani) walivo anza ku comment kwenye page ya Wizkid na Mtv na si alivyo AMUA YEYE kutoa tamko baada ya kupewa what was rightfully his kulingana na kura zilizo pigwa ? Maana ndicho cha msingi ulicho kiongea kwenye maandishi yako hapo juu ???
diamond mwisho wake umefika Hana kipya tena ndo maana anaajir Vijana wenye vipaji ili waendelee kumbeba. Ana mafigisu figisu ye na manager wake salm Mara kuzima mic Mara tecno amtaje simba.Na atazidi kumuacha mbali sana kama kila linalomtokea anamuona DIAMOND tu,soma caption hiyo.
Siwezi kuwa na chuki na msanii ambaye macho yangu hayaelekei kwake na wakati yule ninayemuangalia keshampita sana huyo msanii.Pia NILICHOKISEMA SIO NDIO NINACHOKITAKA MIMI, ILA HUO MNAOUITA "KUFANYA KITU CHA KISTAARABU" BASI HIVO NILIVYOSEMA NDIO ILIVYOTAKIWA AFANYE SIO UFANYE BAADA YA KUSIKILIZWA KILIO CHAKO. WAKATI TANGU MWANZO ALIKUWA ANAYAONA MATUSI NA ALIKUWA ANACHEKELEA TU,NA HASINGEPEWA KUNA UWEZEKANO HASINGEOMBA POO.Maneno yako yame jaa chuki kidogo lakini tuyaache hayo maana mada hapa ni kuhusiana na kinacho endelea na si kilicho wahi kutokea...kwa uelewa wangu kutokana na maandishi yako inaonekana kilicho kuumiza wewe ni muda wa Alikiba kutoa tamko, kwamba "ULIVYO KUA UNATAKA WEWE" ni atoe tamko kipindi mashabiki ambao kulingana na pande zote mbili (ambao hawaja julikana ni wa nani) walivo anza ku comment kwenye page ya Wizkid na Mtv na si alivyo AMUA YEYE kutoa tamko baada ya kupewa what was rightfully his kulingana na kura zilizo pigwa ? Maana ndicho cha msingi ulicho kiongea kwenye maandishi yako hapo juu ???
Mkuu utapoteza muda wako bure kubishana na mtu anaeleta utimu, huyu jamaa hajawahi kuona jema kutoka kwa kiba, ye akiona tu uzi unaohusu kiba razima aje kujaza server na majungu yake. Diamond ana fan page humu jf badala ye akaitumie ile kutuma hizo shows, au mambo mengine yanayomuhusu diamond au kuanzisha uzi mpya ila hadi asubili tu uzi wa kiba
Hii issue kama isingeenda kiutimu mbona kiba kafanya jambo la busara tu kuomba radhi ila imekuwa nongwa, na asingejitokeza kusema hayo pia wangekuja tena na kusema kiba anajifanya ana dharau kwanini hakumuomba radhi wizkid ikiwa team yake imechafua hali ya hewa. So hapa watu wanaongozwa na chuki binafi ti wala hawapo kuongea ukweli
Nimeambiwa ni achane na wewe kwa maana unaendekeza utimu, sikulijua hilo lakini nakiri kua niliona dalili, sisi wengine ni watu wa ku enjoy mxiki mzuri tu na kujihisi furaha pindi wasanii wetu wanapo fanya kazi nzuri na zenye mafanikio zaidi kwenye kuwakilisha Taifa letu Takatifu, tuna furahi tuonapo idadi yao inaongezeka na mziki unavo chamgamka kwa changamoto za hapa na pale awe kiba awe diamond wote tuna waombea mafanikio, watu wachache kama nyinyi ndio mnao changia kwa asilimia kubwa kwenye kuangusha soko letu kimataifa na kutujengea picha mbaya, nimesahau niliambiwa niachane na wewe, nakutakia kheri mkuuSiwezi kuwa na chuki na msanii ambaye macho yangu hayaelekei kwake na wakati yule ninayemuangalia keshampita sana huyo msanii.Pia NILICHOKISEMA SIO NDIO NINACHOKITAKA MIMI, ILA HUO MNAOUITA "KUFANYA KITU CHA KISTAARABU" BASI HIVO NILIVYOSEMA NDIO ILIVYOTAKIWA AFANYE SIO UFANYE BAADA YA KUSIKILIZWA KILIO CHAKO. WAKATI TANGU MWANZO ALIKUWA ANAYAONA MATUSI NA ALIKUWA ANACHEKELEA TU,NA HASINGEPEWA KUNA UWEZEKANO HASINGEOMBA POO.
Braza pole sana,kama uko siriazi kiasi hiko na MITANDAO BASI HUJAKOMAA KIAKILI,INAONYESHA YA MITANDAONI UNAONDOKA NAYO KAMA YALIVYO.Mkuu utapoteza muda wako bure kubishana na mtu anaeleta utimu, huyu jamaa hajawahi kuona jema kutoka kwa kiba, ye akiona tu uzi unaohusu kiba razima aje kujaza server na majungu yake. Diamond ana fan page humu jf badala ye akaitumie ile kutuma hizo shows, au mambo mengine yanayomuhusu diamond au kuanzisha uzi mpya ila hadi asubili tu uzi wa kiba
Hii issue kama isingeenda kiutimu mbona kiba kafanya jambo la busara tu kuomba radhi ila imekuwa nongwa, na asingejitokeza kusema hayo pia wangekuja tena na kusema kiba anajifanya ana dharau kwanini hakumuomba radhi wizkid ikiwa team yake imechafua hali ya hewa. So hapa watu wanaongozwa na chuki binafi ti wala hawapo kuongea ukweli
Leo nimefurahi sana tena sana, kukutana na mtu ananikwepa kwa kisingizio cha NIMEAMBIWA NIACHANE NA WEWE,Ok safari njema.Karibu tena celebriety forum.Nimeambiwa ni achane na wewe kwa maana unaendekeza utimu, sikulijua hilo lakini nakiri kua niliona dalili, sisi wengine ni watu wa ku enjoy mxiki mzuri tu na kujihisi furaha pindi wasanii wetu wanapo fanya kazi nzuri na zenye mafanikio zaidi kwenye kuwakilisha Taifa letu Takatifu, tuna furahi tuonapo idadi yao inaongezeka na mziki unavo chamgamka kwa changamoto za hapa na pale awe kiba awe diamond wote tuna waombea mafanikio, watu wachache kama nyinyi ndio mnao changia kwa asilimia kubwa kwenye kuangusha soko letu kimataifa na kutujengea picha mbaya, nimesahau niliambiwa niachane na wewe, nakutakia kheri mkuu
Na wewe je?Unapata mgao?
Leo nimefurahi sana tena sana, kukutana na mtu ananikwepa kwa kisingizio cha NIMEAMBIWA NIACHANE NA WEWE,Ok safari njema.Karibu tena celebriety forum.
Unaona upeo wenu wa kufikiria ulivo mdogo daahdiamond mwisho wake umefika Hana kipya tena ndo maana anaajir Vijana wenye vipaji ili waendelee kumbeba. Ana mafigisu figisu ye na manager wake salm Mara kuzima mic Mara tecno amtaje simba.
Ndugu Kifesi we kazi yako ni kuhakikisha msanii wetu anakuwa na good looking kwenye picha, kuedit video zake za kwenye shows anazofanya na nikupongeze unaifanya kazi yako vizuri sana, ila haya mambo ya kiba hivi ni kweli umeshindwa kabisa kuachana nayo? Kuna sehemu umesema huwezi kumfkilia msanii km kiba sasa inakuwaje kwenye kila uzi unaomuhusu kiba razima uje kutia majungu? Kwanini uhangaike na msanii ambae nyie mmezidi mafanikio? Kama huwezi kuacha kabisa basi ata punguza tu mkuu maana imekuwa ni kawaida pale uzi wa kiba unapoanzishwa watu wanakusubil kuona leo utakuja na majungu gani mapya......! Kama umeshindwa kabisa kuacha sio case basi ata punguza tu mkuiBraza pole sana,kama uko siriazi kiasi hiko na MITANDAO BASI HUJAKOMAA KIAKILI,INAONYESHA YA MITANDAONI UNAONDOKA NAYO KAMA YALIVYO.
Kwanza umesema UMEAMBIWA UNIACHE,sasa mbona bado upo ......Halafu hiyo uliyoandika wewe kwenye red na mstari nini,si ni bora mimi niliekosea lugha ya wakoloni kuliko wewe kukosea lugha unayoitumia hata kwenye ndoto.Nimeambiwa ni achane na wewe kwa maana unaendekeza utimu, sikulijua hilo lakini nakiri kua niliona dalili, sisi wengine ni watu wa ku enjoy mxiki mzuri tu na kujihisi furaha pindi wasanii wetu wanapo fanya kazi nzuri na zenye mafanikio zaidi kwenye kuwakilisha Taifa letu Takatifu, tuna furahi tuonapo idadi yao inaongezeka na mziki unavo chamgamka kwa changamoto za hapa na pale awe kiba awe diamond wote tuna waombea mafanikio, watu wachache kama nyinyi ndio mnao changia kwa asilimia kubwa kwenye kuangusha soko letu kimataifa na kutujengea picha mbaya, nimesahau niliambiwa niachane na wewe, nakutakia kheri mkuu
Ni celebrity sio celebriety...anyways ahsante na hongera kwa kuhisi kukwepa Mungu akuongezee mafanikio zaidi kwenye hisia zako
Kwanza umesema UMEAMBIWA UNIACHE,sasa mbona bado upo ......Halafu hiyo uliyoandika wewe kwenye red na mstari nini,si ni bora mimi niliekosea lugha ya wakoloni kuliko wewe kukosea lugha unayoitumia hata kwenye ndoto.
UMEMSHAURI MWENZAKO KUWA MNIACHE,SASA MIMI NIKIKUJIBU KISHA NIKIKUULIZA BADO NITAKUWA NAPOTEZA MUDA BURE KWAVILE KWENYE KICHWA CHAKO TAYARI UNA MAONO YAKO ZIDI YANGU KWAHIYO KWAKO SITAONGEA "LA MAANA".LAKINI CHUKUA HII MIMI MITANDAO SIO MAISHA YANGU YA HUMU NI TOFAUTI NA MIMI MWENYEWE,UKINIITA KIFESI WAKATI MIMI SI KIFESI UNAMKOSEA KIFESI SIO MIMI HATA YEYE HUKO ANAWASHANGAA.KINGINE MAISHA NILIYONAYO MIMI NI ZAIDI HATA YA HUYO NINAYEMSHABIKIA.NGOJA KUNA MWANA JF MMOJA ANANIJUA SIKU AKINIPA RUKSA YA KUTAJA JINA LAKE NITAWATAJIA ILI MUKAMUULIZE AWASIMULIE LEVEL ZANGU, AMBAZO NI ZA KILA SIKU SHEREHE.Ndugu Kifesi we kazi yako ni kuhakikisha msanii wetu anakuwa na good looking kwenye picha, kuedit video zake za kwenye shows anazofanya na nikupongeze unaifanya kazi yako vizuri sana, ila haya mambo ya kiba hivi ni kweli umeshindwa kabisa kuachana nayo? Kuna sehemu umesema huwezi kumfkilia msanii km kiba sasa inakuwaje kwenye kila uzi unaomuhusu kiba razima uje kutia majungu? Kwanini uhangaike na msanii ambae nyie mmezidi mafanikio? Kama huwezi kuacha kabisa basi ata punguza tu mkuu maana imekuwa ni kawaida pale uzi wa kiba unapoanzishwa watu wanakusubil kuona leo utakuja na majungu gani mapya......! Kama umeshindwa kabisa kuacha sio case basi ata punguza tu mkui
Kwanini asiwe ommydimpoz, shetta, jux, ben pol na wasanii wengine ila kwako iwe Alikiba tu? Una tatizo gani na huyu jamaa, sijawahi kuona mtu mwenye mafanikio anakuwa na matatizo na mtu ambae hana mafanikio, wewe haya mambo ulipaswa uwe unafanya kwa wasanii ambao wamemzidi mafanikio Diamond.
Mwisho Diamond ataendelea kuwa Diamond na wewe utaendelea kuwa wewe, sidhani kama una mkataba wa maisha na Diamond so huwezi jua kesho yako, kwanini uishi maisha ya kumtukana mtu tu kila siku ili kumfurahisha mtu fulani kumbuka kuna maisha nje ya hizi team. Nice day mkuu
Kaka naona upo emotional sana utafikiri unalipwa katika maelezo yako yanaonesha ni kiasi gn ulivo hater eti ana edit video za show....kwa hiyo zikieditiwa zinakuwaje ebu tueleze maana xkuwai kulijua hilo kablaNdugu Kifesi we kazi yako ni kuhakikisha msanii wetu anakuwa na good looking kwenye picha, kuedit video zake za kwenye shows anazofanya na nikupongeze unaifanya kazi yako vizuri sana, ila haya mambo ya kiba hivi ni kweli umeshindwa kabisa kuachana nayo? Kuna sehemu umesema huwezi kumfkilia msanii km kiba sasa inakuwaje kwenye kila uzi unaomuhusu kiba razima uje kutia majungu? Kwanini uhangaike na msanii ambae nyie mmezidi mafanikio? Kama huwezi kuacha kabisa basi ata punguza tu mkuu maana imekuwa ni kawaida pale uzi wa kiba unapoanzishwa watu wanakusubil kuona leo utakuja na majungu gani mapya......! Kama umeshindwa kabisa kuacha sio case basi ata punguza tu mkui
Kwanini asiwe ommydimpoz, shetta, jux, ben pol na wasanii wengine ila kwako iwe Alikiba tu? Una tatizo gani na huyu jamaa, sijawahi kuona mtu mwenye mafanikio anakuwa na matatizo na mtu ambae hana mafanikio, wewe haya mambo ulipaswa uwe unafanya kwa wasanii ambao wamemzidi mafanikio Diamond.
Mwisho Diamond ataendelea kuwa Diamond na wewe utaendelea kuwa wewe, sidhani kama una mkataba wa maisha na Diamond so huwezi jua kesho yako, kwanini uishi maisha ya kumtukana mtu tu kila siku ili kumfurahisha mtu fulani kumbuka kuna maisha nje ya hizi team. Nice day mkuu
Duhhh kazi ipo, kwahiyo we unajuaga vile wanaporecord wakati msanii anafanya show waga inawekwa kama ilivo? Kwa kawaida msanii hawezi kupafomu muda wote watazamaji wakawa wanapiga shangwe, shangwe sana waga msanii anapoingia na pale anapoimba wimbo amabao unapendwa sana kuliko zingine, ila the rest waga wanapoa tu.Kaka naona upo emotional sana utafikiri unalipwa katika maelezo yako yanaonesha ni kiasi gn ulivo hater eti ana edit video za show....kwa hiyo zikieditiwa zinakuwaje ebu tueleze maana xkuwai kulijua hilo kabla
Kwa hiyo unataka wawe wanapost show nzima Insta wakati kwa video Insta na dkk moja tu ndo maana baada ya apo anakwambia kuona show nzima nenda youtube.....kwa hiyo kama point ya kuedit show cyo kwa domo n kwa wasanii wote...!!Duhhh kazi ipo, kwahiyo we unajuaga vile wanaporecord wakati msanii anafanya show waga inawekwa kama ilivo? Kwa kawaida msanii hawezi kupafomu muda wote watazamaji wakawa wanapiga shangwe, shangwe sana waga msanii anapoingia na pale anapoimba wimbo amabao unapendwa sana kuliko zingine, ila the rest waga wanapoa tu.
So kazi inabaki kwa mtalaamu kuchagua vipande vyenye hamsha hamsha na kuviunga hapo ndo neno kuedit linatumika, au mwenzangu unaelewa nini kuhusu editing? So wanafanya hivo ili either vipostiwe IG au ata kwenye matangazo, ila ukitaka. Show nzima kama ilivo unaenda kuingalaia mwenyewe YouTube.