Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwani mashabiki wake kawapa kadi za kuwatambua.......??
mkuu anza hata english course pale British Council aisee unajitia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mashabiki wake kawapa kadi za kuwatambua.......??
ALI KIBA NI MNAFIKI...!!!!
Nilisha Sema Sehemu fulani na Hapa ninarudia Tena.....Effect ya Alicho Fanya Alikiba Katika Mziki wake ni Kubwaaaa mnoooo Hapo mashabiki wa Kiba mkubari,mkataeee Effect yake ni kubwa!!!!!
Then Nchi za Afrika nyingi ni tofauti sana na TANZANIA wenzetu ni wadadisi na watafiti ni watu wa kureason Out!! Kuna Shabiki alisema Humu ALIKIBA hategemei Collabo na Mnigeria yeyote wala Wizkid ili atoke Africa!,aKasema hawawezi dhurumiwa kisa kuogopa watasema ukweli lakini LEO naona MSANII wao Kaona Effect ya kinacho Endelea ndo maana kaja kuomba msamaha lakini kinafikiiii sanaaa
UKWELI ni huu....ALI KIBA alishaonesha beef na WIZKID toka kenya aliposema yeye ni mkubwa kuliko wizkid na Ataperfom mpaka wizkid apende Jukwaani....WIZ HANA noma Alipanda jukwaani SINA IMANI KAMA wizkid hiyo kitu atakuwa ameisahau kwa vijimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo kuwa ni shabiki wake! Sidhani kama Mashabiki wa WIZKID wamesahau hio kitu kwa Vimaneno vya kiba vya leo!!!
Kabla hiyo haijaisha akiwa clouds aliwatuma mashabiki wake wakafanye wanayo yafanyaaa Leo anakuja Anawakana na Kusema yeye hao sio mashabiki wake, kweli au yule alie kuwa JAHAZI hakuwa yeye? Huo ni UNAFIKI!!!
Kiukweli hata yeye anatambua ili utoboe AFRIKA NI LAZIMA UFANYE VIZURI NIGERIA UKUBARI UKATAE MZIKI WA AFRIKA NI NIGERIA,kuona hilo leo anakuja kinafiki kuomba msamaha lakini mimi nasema ITS TOO LATE wizkid katukaniwa mama ake,katukaniwa familia yaKe,katukanwa yeye,mashabiki wake watukanwa,Winigeria wametukanwa Sidhani kama WATASAHAU kwa vimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo!!!
Leo hii ALIKIBA aseme ana SHOW nigeria Sijui hata kama watu 200 wataingia kwenye hiyo show sina IMANI wala sina Imani kama VITUO VYa Radio vya NIGERIA vitacheza wimbo wowote wa AliKIBA MAANA hata MI mistari yake alifuta kuonesha uzalendo sina IMANI kama nyimbo za Alikiba zitachezwa NIGERIA!!! YOTE hii ni kukurupuka kuchinja kuku kwa njaa ya siku moja!!!
Waandaji wa TUZO wametukanwa sanaaaa As IF kila binadamu ni PERFECT yale matusi yamehifadhiwaaa MTV nzima wametukanwa kisa ALIKIBAA sidhani kama watasahau kwa vimaneno vya KIBA!!! Leo tupo Hapa Alikiba akija kuwa NOMINATED kwenye tuzo za MTV zozote zileee basi Sijui na kwa mziki wake uleee sijuiii
Alikiba na Mashabiki wake kwa ujumlaaaa walicho FANYA hawawezi kukifuta kwa njia yoyote ile hata ya MSAMAHAA kiasi gani,Sidhani hataa kama Davido atafanya collabo na ALIKIBA KWA alichoona kwa RAFIKI AKE alicho fanyiwa
MATUSI,KEJERI,DHARAU KWA WALIOKUTANGULIA sio njia ya kufanikiwa.....TUZO ni kitu kidogo sanaaaa,Mmeyafanya makubwa now MNAJISAFISHA HAKIKA ITS TOO LATE
JIFUNZENI HATA kwa mond Hata akionewa vipi hawezi act kama mtto wa K/koo
ALIKIBA NA MASHABIKI WAKE NI WASWAHILI SANAAAA......
Mmemdidimiza sanaaa ...... CHUKUENI HIYO TUZO LAKINI MSANII WENU ANAKAZI KUBWA
Naona ufahari sana kutokujua hiyo lugha.Ila si vibaya ukaingia hapa ukaongeze ujuzi wa lugha yako uliyoletewa na mkoloni.mkuu anza hata english course pale British Council aisee unajitia aibu.
Umeona eehe?Atakuwa kaandikiwa na Kidoti.
Source ya Matusi ni nini? Ilianza lini? Usimtetee....HUKUSIKIA KWENYE JAHAZI ALISEMA NINI?Yani ndio mana Wizkid aka tweet kuwa "there are so many dumb people in this world"...yani watu hawajui kabisa ku read between the lines...Kosa lime fanywa na MTV victims ni Wizkid na Alikiba...wote wawili ni wahanga wa yaliyo tokea,wanatokea watu wanao mlaumu/mtukana Wizkid kwa kosa lililo fanywa na MTV EMA, ambao ukiangalia kwa picha kubwa atakae onekana mbaya ni Alikiba, wengine wanatumia kivuli cha Alikiba kuonekana ni Alikiba ndio mwenye hayo maamuzi, kuna wangapi wenye nia mbaya na Ali wanao weza kuchukua hii nafasi kumchafua, okay tuyaache hayo, anakuja Alikiba kama mhanga mkuu wa tukio anapo jaribu ku neutralize situation na kutoonyesha uhasama baina yake na Wizkid, wanatokea watu na kusema asinge fanya hivo/ sasa mlitaka afanyaje ? He is simply showing a good gesture never the less a positive one but watu wanakua driven by emotions na utimu usio na msingi, according to his words ame claim kua ni it's in his belief that none of his true fans could be a part of that and he is actually condemning the whole situation but sjui tatizo ni kiingereza ??you guys are better than that, ndio mana wa Kenya wana tucheka kila siku ikija kwenye swala la kuelewa na kudadavua mambo
Source ya Matusi ni nini? Ilianza lini? Usimtetee....HUKUSIKIA KWENYE JAHAZI ALISEMA NINI?
Bulaza hongera sana tena sana,maana hiki kiingilishi chako kama sio Exford basi ni UDSM. Lakini kaka msomi mi nakuuliza kitu kimoja,hivi tatizo linatatuliwa kwa kuanzia juu au chini ................. Maana mwanzo wa YOOOOOOOOOTE NI YEYE,KWAHIYO ALILOLITENGENEZA LINAMRUDIA KUMWADHIBU MWENYEWE. NA ATAENDELEA KUOMBA POO SANA KAMA HAJAJICHUNGUZA VIZURI.Yani ndio mana Wizkid aka tweet kuwa "there are so many dumb people in this world"...yani watu hawajui kabisa ku read between the lines...Kosa lime fanywa na MTV victims ni Wizkid na Alikiba...wote wawili ni wahanga wa yaliyo tokea,wanatokea watu wanao mlaumu/mtukana Wizkid kwa kosa lililo fanywa na MTV EMA, ambao ukiangalia kwa picha kubwa atakae onekana mbaya ni Alikiba, wengine wanatumia kivuli cha Alikiba kuonekana ni Alikiba ndio mwenye hayo maamuzi, kuna wangapi wenye nia mbaya na Ali wanao weza kuchukua hii nafasi kumchafua, okay tuyaache hayo, anakuja Alikiba kama mhanga mkuu wa tukio anapo jaribu ku neutralize situation na kutoonyesha uhasama baina yake na Wizkid, wanatokea watu na kusema asinge fanya hivo/ sasa mlitaka afanyaje ? He is simply showing a good gesture never the less a positive one but watu wanakua driven by emotions na utimu usio na msingi, according to his words ame claim kua ni it's in his belief that none of his true fans could be a part of that and he is actually condemning the whole situation but sjui tatizo ni kiingereza ??you guys are better than that, ndio mana wa Kenya wana tucheka kila siku ikija kwenye swala la kuelewa na kudadavua mambo
Bulaza hongera sana tena sana,maana hiki kiingilishi chako kama sio Exford basi ni UDSM. Lakini kaka msomi mi nakuuliza kitu kimoja,hivi tatizo linatatuliwa kwa kuanzia juu au chini ................. Maana mwanzo wa YOOOOOOOOOTE NI YEYE,KWAHIYO ALILOLITENGENEZA LINAMRUDIA KUMWADHIBU MWENYEWE. NA ATAENDELEA KUOMBA POO SANA KAMA HAJAJICHUNGUZA VIZURI.
Angewakataza mashabiki wake from the beginning na kwa nn kafanya baada ya tuzo kurudishwa inamaana isingerudishwa hadi leo wangekuwa wanatukana....Yani ndio mana Wizkid aka tweet kuwa "there are so many dumb people in this world"...yani watu hawajui kabisa ku read between the lines...Kosa lime fanywa na MTV victims ni Wizkid na Alikiba...wote wawili ni wahanga wa yaliyo tokea,wanatokea watu wanao mlaumu/mtukana Wizkid kwa kosa lililo fanywa na MTV EMA, ambao ukiangalia kwa picha kubwa atakae onekana mbaya ni Alikiba, wengine wanatumia kivuli cha Alikiba kuonekana ni Alikiba ndio mwenye hayo maamuzi, kuna wangapi wenye nia mbaya na Ali wanao weza kuchukua hii nafasi kumchafua, okay tuyaache hayo, anakuja Alikiba kama mhanga mkuu wa tukio anapo jaribu ku neutralize situation na kutoonyesha uhasama baina yake na Wizkid, wanatokea watu na kusema asinge fanya hivo/ sasa mlitaka afanyaje ? He is simply showing a good gesture never the less a positive one but watu wanakua driven by emotions na utimu usio na msingi, according to his words ame claim kua ni it's in his belief that none of his true fans could be a part of that and he is actually condemning the whole situation but sjui tatizo ni kiingereza ??you guys are better than that, ndio mana wa Kenya wana tucheka kila siku ikija kwenye swala la kuelewa na kudadavua mambo
ALI KIBA NI MNAFIKI...!!!!
Nilisha Sema Sehemu fulani na Hapa ninarudia Tena.....Effect ya Alicho Fanya Alikiba Katika Mziki wake ni Kubwaaaa mnoooo Hapo mashabiki wa Kiba mkubari,mkataeee Effect yake ni kubwa!!!!!
Then Nchi za Afrika nyingi ni tofauti sana na TANZANIA wenzetu ni wadadisi na watafiti ni watu wa kureason Out!! Kuna Shabiki alisema Humu ALIKIBA hategemei Collabo na Mnigeria yeyote wala Wizkid ili atoke Africa!,aKasema hawawezi dhurumiwa kisa kuogopa watasema ukweli lakini LEO naona MSANII wao Kaona Effect ya kinacho Endelea ndo maana kaja kuomba msamaha lakini kinafikiiii sanaaa
UKWELI ni huu....ALI KIBA alishaonesha beef na WIZKID toka kenya aliposema yeye ni mkubwa kuliko wizkid na Ataperfom mpaka wizkid apende Jukwaani....WIZ HANA noma Alipanda jukwaani SINA IMANI KAMA wizkid hiyo kitu atakuwa ameisahau kwa vijimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo kuwa ni shabiki wake! Sidhani kama Mashabiki wa WIZKID wamesahau hio kitu kwa Vimaneno vya kiba vya leo!!!
Kabla hiyo haijaisha akiwa clouds aliwatuma mashabiki wake wakafanye wanayo yafanyaaa Leo anakuja Anawakana na Kusema yeye hao sio mashabiki wake, kweli au yule alie kuwa JAHAZI hakuwa yeye? Huo ni UNAFIKI!!!
Kiukweli hata yeye anatambua ili utoboe AFRIKA NI LAZIMA UFANYE VIZURI NIGERIA UKUBARI UKATAE MZIKI WA AFRIKA NI NIGERIA,kuona hilo leo anakuja kinafiki kuomba msamaha lakini mimi nasema ITS TOO LATE wizkid katukaniwa mama ake,katukaniwa familia yaKe,katukanwa yeye,mashabiki wake watukanwa,Winigeria wametukanwa Sidhani kama WATASAHAU kwa vimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo!!!
Leo hii ALIKIBA aseme ana SHOW nigeria Sijui hata kama watu 200 wataingia kwenye hiyo show sina IMANI wala sina Imani kama VITUO VYa Radio vya NIGERIA vitacheza wimbo wowote wa AliKIBA MAANA hata MI mistari yake alifuta kuonesha uzalendo sina IMANI kama nyimbo za Alikiba zitachezwa NIGERIA!!! YOTE hii ni kukurupuka kuchinja kuku kwa njaa ya siku moja!!!
Waandaji wa TUZO wametukanwa sanaaaa As IF kila binadamu ni PERFECT yale matusi yamehifadhiwaaa MTV nzima wametukanwa kisa ALIKIBAA sidhani kama watasahau kwa vimaneno vya KIBA!!! Leo tupo Hapa Alikiba akija kuwa NOMINATED kwenye tuzo za MTV zozote zileee basi Sijui na kwa mziki wake uleee sijuiii
Alikiba na Mashabiki wake kwa ujumlaaaa walicho FANYA hawawezi kukifuta kwa njia yoyote ile hata ya MSAMAHAA kiasi gani,Sidhani hataa kama Davido atafanya collabo na ALIKIBA KWA alichoona kwa RAFIKI AKE alicho fanyiwa
MATUSI,KEJERI,DHARAU KWA WALIOKUTANGULIA sio njia ya kufanikiwa.....TUZO ni kitu kidogo sanaaaa,Mmeyafanya makubwa now MNAJISAFISHA HAKIKA ITS TOO LATE
JIFUNZENI HATA kwa mond Hata akionewa vipi hawezi act kama mtto wa K/koo
ALIKIBA NA MASHABIKI WAKE NI WASWAHILI SANAAAA......
Mmemdidimiza sanaaa ...... CHUKUENI HIYO TUZO LAKINI MSANII WENU ANAKAZI KUBWA
Angewakataza mashabiki wake from the beginning na kwa nn kafanya baada ya tuzo kurudishwa inamaana isingerudishwa hadi leo wangekuwa wanatukana....
Yeye aendelee kujitekenya tu na kucheka mwenyewe,sisi tushapita level hizo,sijui kulilia tuzo,sijui kuomba msamaha,sijui nini ona level hizi.
Yes kaka msomi, ni kweli unaongea kitu husichokijua, maana ungekuwa unajua mambo ya huyu "king wetu" husingemtetea labda uwe ni kati ya wale mashabiki wasio mnufaisha kwa lolote zaidi ya uwezo wao wa matusi. Picha linaanza wakati huo anatoa wimbo wake na kujitapa redioni "nimekuja kufuta vumbi kiti changu" "mimi ndio king huyo mwingine wanamsikiliza kwa vile kilicho bora hakipo" "mimi siwezi kutoa wimbo chini ya miezi 6" "mimi siwezi kuweka dancers kwa vile mimi mwenyewe ni zaidi ya dancer" "kwangu tuzo si kitu" "nimeshafanya kazi na R. kelly wanigeria kitu gani" Sasa angalia hizo kauli kwa undani anamlenga nani ............. Sasa juzi kati kasema "hata mashabiki wangu wanashangaa hizi tuzo zina zigezo gani kama sio kupiga kura" kwahiyo taarifa ya mashabiki wake wanafanya nini kwenye page ya Wizkid na MTV EMA ALIKUWA NAYO ILA ALIKUWA ANASUBIRI APEWE NDIO AONGEE SASA WALE MASHABIKI WAKAENDELEZA NA MATUSI YAO,LEO MUKISEMA ETI YUKO SAHIHI MNAKOSEA KWASABABU MATUSI WAMEANZA KABLA HAJAPATA HURUMA YA KUPEWA.Labda nikuulize, Ali amekosea wapi ? Kabla sijajibu swali lako ningependa kujua unavyo ongelea kutatua tatizo, je ni tatizo gani haswa unalo liongelea na ni nani alie tatua hilo tatizo kuanzia wapi kuelekea wapi ? Maana nahisi tunaongea vitu visivyo shabihiana
Chukua na hii,Zenji hiyo.Tuzo za ujanja ujanja tumeshazistukia nyie wazee wa fitina na figisu figisu Kama CCM hizo tuzo hazina maana tena Wenda kuna watu walizurumiwa
Chukua na hii,Zenji hiyo.
Yes kaka msomi, ni kweli unaongea kitu husichokijua, maana ungekuwa unajua mambo ya huyu "king wetu" husingemtetea labda uwe ni kati ya wale mashabiki wasio mnufaisha kwa lolote zaidi ya uwezo wao wa matusi. Picha linaanza wakati huo anatoa wimbo wake na kujitapa redioni "nimekuja kufuta vumbi kiti changu" "mimi ndio king huyo mwingine wanamsikiliza kwa vile kilicho bora hakipo" "mimi siwezi kutoa wimbo chini ya miezi 6" "mimi siwezi kuweka dancers kwa vile mimi mwenyewe ni zaidi ya dancer" "kwangu tuzo si kitu" "nimeshafanya kazi na R. kelly wanigeria kitu gani" Sasa angalia hizo kauli kwa undani anamlenga nani ............. Sasa juzi kati kasema "hata mashabiki wangu wanashangaa hizi tuzo zina zigezo gani kama sio kupiga kura" kwahiyo taarifa ya mashabiki wake wanafanya nini kwenye page ya Wizkid na MTV EMA ALIKUWA NAYO ILA ALIKUWA ANASUBIRI APEWE NDIO AONGEE SASA WALE MASHABIKI WAKAENDELEZA NA MATUSI YAO,LEO MUKISEMA ETI YUKO SAHIHI MNAKOSEA KWASABABU MATUSI WAMEANZA KABLA HAJAPATA HURUMA YA KUPEWA.

Na atazidi kumuacha mbali sana kama kila linalomtokea anamuona DIAMOND tu,soma caption hiyo.Diamond na tim yake watu wa fitina Sana wakalimpa tecno PESA ili ataje Simba ili kumdhoofisha king.