Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Kwa hiyo unataka wawe wanapost show nzima Insta wakati kwa video Insta na dkk moja tu ndo maana baada ya apo anakwambia kuona show nzima nenda youtube.....kwa hiyo kama point ya kuedit show cyo kwa domo n kwa wasanii wote...!!
Aisee huu utimu kweli shida tupu, hivi ulielewa swali ulilokuwa umeniuliza? Kwanza umejifanya kunikejeli kana kwamba video za show waga hazieditiwi haya nimekujibu hatma yake unarudi kujifanya unajua, me pale nilikuwa naongelea kazi ya kifesi kama editor na photographer wa Diamond so ata maedita na maphotografa wa wasanii wengine hizo ndio kazi zao. Hebu punguzeni basi utoto
 
Ebu kula kwanza maana hii mida ya lunch
 
Na mashabik wake wamewatukana sana MTV..mboa hajawaomba msamaha mtv?!
kwamaana nyingine anakubaliana na matusi wanayotukanwa watu wengine.
Kama angekuwa mstaarabu basi angewaomba msamaha watu wote waliotukanwa na Teamyake kwa tukio hili.
team kiba wanazngua,na wanatukana wao afu wanasingizia kuwa eti ni team mondi wakati wao ndio wana tabia za ivo.alikiba and his fans wanazngua sanaa
 
Asante kidoti kwa kumsaidia jamaa kuandika hiyo post maana angeandika yeye dah!
 
Kiba kaandikiwa hcho kiingereza na Jokate coz hy hawezi kuongea kiingereza mfano mzuri ni kwenye MTV MAMA alibroo mapigo.
 
Kweli kabisa kaka brave one kiingereza cha kuandika ni tofauti na kuongea unaweza kuta mtu anaweza kuongea lakini kuandika tabu na mwingine anaweza kuandika lakini kuongea tabu na mwingine anaweza vyote
 
d9abe3ad2b967e9a87cbc927b917f3d0.jpg
 
Kweli kabisa kaka brave one kiingereza cha kuandika ni tofauti na kuongea unaweza kuta mtu anaweza kuongea lakini kuandika tabu na mwingine anaweza kuandika lakini kuongea tabu na mwingine anaweza vyote
mie mwenyewe najua cha kujibu mitihani tu
 
Hicho kiingilishi kama ameandika yeye basi kamfunika Juma[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao walivamia ukurasa wa Wizkid na kuporumosha matusi mazito.
Alikiba amesema Wizkid ni msanii alefanikiwa zaidi mwaka huu na yeye ni mmoja wa mashabiki zake
View attachment 432652
Alikiba hana uwezo wa kuandika kiingereza hicho
 
Kwa alicho fanyiwa wizkid uyo kibakuli hata ajioshe vipi hajikuiva chungukimoja na starboy wizkid akija jidanganya kukanyaga nigeria watamfurahisha.
 
Hakuna cha chuki..labda kama wewe unaangalia kwa karibu,ila kama unaangalia na upande wa pili basi utauona unafiki ndani yake..

Hiyo team yake kila siku inatukana watu hususan Diamond na familia yake,mbona hajasimama Allykiba akakemea hilo jambo?!kuna page huko insta inaitwa Shilolekiunoofficial inatoa matusi mfano hakuna!na mbaya zaidi mpaka seven Mosha na uongozi wote wa Allykiba wanampa sapoti na wanampongeza!!

kuna ustaarabu hapo?!hata Wema tu anajua kuidhibiti team Yake...team wema mpaka uwachokoze ndio watakutukana,ila nyie washenzy wa kiba baadhi yenu hamuhitaji kuchokozwa!!
mi naamini matusi n kosa kisheria so kama mtu hajaenda mahakaman hajatukanwa
 
Back
Top Bottom