tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Aisee huu utimu kweli shida tupu, hivi ulielewa swali ulilokuwa umeniuliza? Kwanza umejifanya kunikejeli kana kwamba video za show waga hazieditiwi haya nimekujibu hatma yake unarudi kujifanya unajua, me pale nilikuwa naongelea kazi ya kifesi kama editor na photographer wa Diamond so ata maedita na maphotografa wa wasanii wengine hizo ndio kazi zao. Hebu punguzeni basi utotoKwa hiyo unataka wawe wanapost show nzima Insta wakati kwa video Insta na dkk moja tu ndo maana baada ya apo anakwambia kuona show nzima nenda youtube.....kwa hiyo kama point ya kuedit show cyo kwa domo n kwa wasanii wote...!!