Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Anatafuta kiki tu!!hiyo team yake mbona ndiyo imemsaidia mpaka kupata tuzo kwa kuwatukana Mtvbase na Ema ili apewe yeye?!..ni watu wangapi wanatukanwa kila siku na team yake?!

Ameshaona Naija wamemmaindi sana leo ndio anaamua kujishusha...Wizzy ameanza kutukanwa leo na Team yake?!unafiki uliopitiliza

Angekuwa msataarabu hivyo basi asingekubali Wizzy anyang'anywe tuzo halafu apewe yeye
 
Amefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
Unafiki wake upo wapi kwa matusi Yale hao mashabiki walikua wana mchafua kwa matusi makubwa.
 
Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Imekuwa timu domo tena jamani? Kwahiyo hakuna timu kiba walotukana bali ni timu domo, nimemsoma kiba katikati ya mistari ametaja kelele za "haters" na wewe unakuja kusema waliotukana ni timu domo, bado naendelea kuona kiba na shabiki zake mna matatizo sana.
 
Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Waliokuwa wanatukana wala co team domo, ila d kaoshewa mnuka nuka kila jambo likiharibika kwa Ali anasingiziwa yeye na team yake, nenda kwa accnt ya shiloleofficial ndo utaelewa matus yanatoka wap
 
Kuna yule kamtukana wizkid matusi nakusema katumwa na kiba tena wizkid akamjibu ukienda kwa page yake ana post mambo ya diamond platnumz.
Kuandika haters ni sawa huwezi kutukana hafu umsingizie mwingine this is un acceptable kabisa na ujinga mtupu kwa both teamz
 
Waliokuwa wanatukana wala co team domo, ila d kaoshewa mnuka nuka kila jambo likiharibika kwa Ali anasingiziwa yeye na team yake, nenda kwa accnt ya shiloleofficial ndo utaelewa matus yanatoka wap
Insta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.
 
Reactions: Gut
Waziri Mkuu wa Israel
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo inaitwa ukimwaga mboga mm namwaga ugali
 
Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Kiba yeye anajisafisha kwa Wizkid kwasababu ndio anayemjua sababisho la yeye kutukanwa sio huo ujinga wako UNAOUSEMA HAPA,na hata huyo Wizkid hawezi kusikia huo ujinga ukimwambia,kwasababu meneja wa Wizkid ndio meneja wa MOND kwa west africa. Ukiona/kusikia shoo ya MOND west africa basi meneja wa wizkid kawezesha.
 
Insta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.
Kumbe unalifahamu hilo kwann useme Waliokuwa wanamtukana wizkid team domo, d cku zote ni mtu wa kutupiwa lawama kutoka upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…