binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Amefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear sio mnafiki flani actually ni "mnafiki" full hehehe kaona naija wapo bize wanauliza who is ali sasa anapata promo akageuza jahazi heheheAmefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
Atajijua yeye na takataka zake, sisi tunaenda KUTENGENEZA PESA YA MAANA.Kwanza ona hiki kiingilio,kisha fikiria ngapi imeingia Bank.
Unafiki wake upo wapi kwa matusi Yale hao mashabiki walikua wana mchafua kwa matusi makubwa.Amefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
Imekuwa timu domo tena jamani? Kwahiyo hakuna timu kiba walotukana bali ni timu domo, nimemsoma kiba katikati ya mistari ametaja kelele za "haters" na wewe unakuja kusema waliotukana ni timu domo, bado naendelea kuona kiba na shabiki zake mna matatizo sana.Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Unapata mgao?
Waliokuwa wanatukana wala co team domo, ila d kaoshewa mnuka nuka kila jambo likiharibika kwa Ali anasingiziwa yeye na team yake, nenda kwa accnt ya shiloleofficial ndo utaelewa matus yanatoka wapBora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Kuna yule kamtukana wizkid matusi nakusema katumwa na kiba tena wizkid akamjibu ukienda kwa page yake ana post mambo ya diamond platnumz.Imekuwa timu domo tena jamani? Kwahiyo hakuna timu kiba walotukana bali ni timu domo, nimemsoma kiba katikati ya mistari ametaja kelele za "haters" na wewe unakuja kusema waliotukana ni timu domo, bado naendelea kuona kiba na shabiki zake mna matatizo sana.
Insta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.Waliokuwa wanatukana wala co team domo, ila d kaoshewa mnuka nuka kila jambo likiharibika kwa Ali anasingiziwa yeye na team yake, nenda kwa accnt ya shiloleofficial ndo utaelewa matus yanatoka wap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo inaitwa ukimwaga mboga mm namwaga ugaliWaziri Mkuu wa Israel
Kiba yeye anajisafisha kwa Wizkid kwasababu ndio anayemjua sababisho la yeye kutukanwa sio huo ujinga wako UNAOUSEMA HAPA,na hata huyo Wizkid hawezi kusikia huo ujinga ukimwambia,kwasababu meneja wa Wizkid ndio meneja wa MOND kwa west africa. Ukiona/kusikia shoo ya MOND west africa basi meneja wa wizkid kawezesha.Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.
Kumbe unalifahamu hilo kwann useme Waliokuwa wanamtukana wizkid team domo, d cku zote ni mtu wa kutupiwa lawama kutoka upande wa piliInsta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.
Alafu walivyowajinga waandika kabisa eti tumetumwa na kiba himself.Bora kiba kaandika hyo mana timu domo walianza kutukana na kusema wametumwa na kiba.