Si bora uandikiwe kuliko baadaye uonekane kichekesho maana wabongo hamna dogo lugha yenyewe siyo ya kwetu lakini ukikosea kidogo tu bango kuubwa.Atakuwa kaandikiwa na Kidoti.
kiboko ya diamondAlikiba ndio nani???
ushabiki huo hzo show anatafta hata za vichochoroni ili aonekane yupo juu congo anarud mara ya ngap huko nigeria kaenda mara ngap...london jeUkipata presha kwa hii kitu sihusiki,hapo unaitoa moja tu ya juu ndio wameshaifanya.Ye na aendelee kulilia tuzo na kuomba poo.
Siku hiz moja ni tano au kumi?KWA TUZO ZA KIMATAIFA HARMONIZE ANAZO TUZO NYINGI TENA HAJAZILILIA,KUTUKANA WALA KUANDAMANA KULIKO HUYO "king" MWENYE MOJA YA KUILILIA.
Shoo uchwara zote hela inaishia kwa promota and managers wake alf shoo za nje za diamond hazina cha maana
ushabiki huo hzo show anatafta hata za vichochoroni ili aonekane yupo juu congo anarud mara ya ngap huko nigeria kaenda mara ngap...london je
Siku hiz moja ni tano au kumi?
Haters comments nyingi sana,lakini sometimes we must be real & do professional tuache mambo ya kiswaz swaz!! Tutaishia kufanya colabo nyingi nabado bet nk tutaishia kusnap shot tukiwa back seat
Acha chuki za kishamba tatzo la tz mnachuki za kishenzi sana halafu sioni zinawapa faida gani. yaani nawashanga sana na mtu ukimchukia mtu ambae hana tatzo na ww unafaidika nn. ndio maana tutabak kua wa kijinga tuAnatafuta kiki tu!!hiyo team yake mbona ndiyo imemsaidia mpaka kupata tuzo kwa kuwatukana Mtvbase na Ema ili apewe yeye?!..ni watu wangapi wanatukanwa kila siku na team yake?!
Ameshaona Naija wamemmaindi sana leo ndio anaamua kujishusha...Wizzy ameanza kutukanwa leo na Team yake?!unafiki uliopitiliza
Angekuwa msataarabu hivyo basi asingekubali Wizzy anyang'anywe tuzo halafu apewe yeye
Poa tu ila ujumbe umefika na kama magu tu.
Some people are still alive just because its illegal to kill them.Anatafuta kiki tu!!hiyo team yake mbona ndiyo imemsaidia mpaka kupata tuzo kwa kuwatukana Mtvbase na Ema ili apewe yeye?!..ni watu wangapi wanatukanwa kila siku na team yake?!
Ameshaona Naija wamemmaindi sana leo ndio anaamua kujishusha...Wizzy ameanza kutukanwa leo na Team yake?!unafiki uliopitiliza
Angekuwa msataarabu hivyo basi asingekubali Wizzy anyang'anywe tuzo halafu apewe yeye
Haijawai kutokea domo kumsujudia kumbe yyt muulize kiba atakujibu hana time na kikaragos yytMbona mnahangaika na kiba wakat kiba haangaiki na ninyi. Mbona boss wako aliomba msamaha kwa davido.