Alikiba huwezi kuongea mbele ya camera au?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke studio.

Sasa yale manjonjo ya kujielezea mbele ya Camera jamaa naona hawezi kabisa au ni kuto kuzoea kabisa! kaanza Hey mambo vipi! Alikiba hapa mmmhh eeee Jumapili hii nitakuwa coke studio yani tangazo halina mvuto kabisa naona ni hawezi kuweka manjonjo na hajiamini akiwa mbele ya kamera.

Alie ona Hivyo video anaweza kupandisha hapa!

View attachment 591027
 
Subiri wenyewe waje wakupe majibu.
 
Nilimuona akihojiwa kwenye shilawadu Asee , anaongea kama hajui kuwa yy ni star na anaongea na public...."ni sipendi ujinga" ameitamka ka Mara 9 hivi...mi Sina timu nimezungumza nilichoona tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…