ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke studio.
Sasa yale manjonjo ya kujielezea mbele ya Camera jamaa naona hawezi kabisa au ni kuto kuzoea kabisa! kaanza Hey mambo vipi! Alikiba hapa mmmhh eeee Jumapili hii nitakuwa coke studio yani tangazo halina mvuto kabisa naona ni hawezi kuweka manjonjo na hajiamini akiwa mbele ya kamera.
Alie ona Hivyo video anaweza kupandisha hapa!
View attachment 591027