Jamaa hampendi mondi pamoja na wasafi crew. Kwani alikiba ana beef na mond au wasafi wote?Kwahyo anamuogopa huyo harmonize au whats your point mkuu?
aliulizwa swali gani mkuu?Kuna interview moja nilona alikiba anaojiwa. Alipotajiwa harmonize tu alitpka mbio huyo duh.
aliulizwa swali gani mkuu?
duu, vip na Harmonize na yeye alipoulizwa swali kama hilo na yeye alitoka nduki?Muone hapo
Huyu jamaa namkubali lakini huwa ana mambo ya kiboya sana.
Kila akiwa kwenye baadhi ya redio ana kazi ya kulalamikia eti wengine wananunua viewers. Wakati ye mwenyewe hajui kupromote kazi zake.
duu, vip na Harmonize na yeye alipoulizwa swali kama hilo na yeye alitoka nduki?
Kwahyo kutoona hao kings music wakifanya inyerview wasafi ndo ushaconclude lwamba alikiba kawakataza??duuu
Kipi kimekufanya useme kua Kiba ndio kawakataza wasanii wake na sio Wasafi Media hawajawaalika wasanii wa Kiba?Habari zenu wananzengo,
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music wakitambulisha ngoma zao mpya wasafi media? ila cha ajabu wasafi tv na radio wanapiga ngoma za hao kings kila siku hadi ngoma zao mpya zinachezwa bila hata official interviews/release kwa wasafi. Sawa una bifu na mondi hata uzao wako usijihusishe na chochote kinachohusiana na mondi hata kama kina faida kwao kibiashara? Kumbe bifu binafsi na biashara huwa vinakwenda pamoja? Alikiba badilika biashara haiendi hivyo hata kidogo waache vijana wako wawe huru kwenda popote as long as hawavunji/hawavunjiwi heshima kwako na kwa wengine. Big up kwa Wasafi Media, ile ni media ambayo ipo huru Tanzania haijalishi uwe na bifu na mmiliki wake au la wewe ngoma zako zitapewa airtime everyday labda wewe mwenyewe uwaambie waache kupiga. Compared to clouds, East Africa radio, efm, wote tunajua hizo media ukikorofishana na presenter au hata mfagia ofisi kwa mambo yenu binafsi basi Department zote haijalishi tv au radio watasitisha kucheza ngoma zako mara moja! VERY UNPROFESSIONAL. Entertainment media za kibongo zijifunze kwa wakenya wanafanyaje hizi kazi, wenzetu hawaendeshi media zao kwa mihemko.
Kipi kimekufanya useme kua Kiba ndio kawakataza wasanii wake na sio Wasafi Media hawajawaalika wasanii wa Kiba?
Je unaweza kuitetea hii hoja yako kwa ushahidi wa kuonekana na sio hisia?
Swali ni?kama ni msikilizaji wa wasafi radio au ukibahatika kutazama tv ya wasafi utagundua hilo, kuna kipindi kinaitwa block 89 sometimes watangazaji wanaweza wakaingizia story za kiba au kings music kwa uzuri kabisa (in apositive way) na dj anacheza ngoma zao utazani hakuna chochote kilichopo, ukifatilia mazungumzo yao kwa makini na busara utagundua kuwa kuna nguvu ya upande wa pili inayotumika either kutoka kwa kiba au meneja wake ili vijana wake wasiende pale na wasafi wanafanya kila jitihada wawepo pale ila wanaishia kuzungushwa. Fatilia hiyo media na vipindi vyake utagundua kitu.
safi sanawe huoni tatizo hilo mkuu? alikiba kawakataza na hilo ni moja ya sharti alilowapa hao vijana. Mmojawapo akithubutu kwenda wasafi media kutambulisha ngoma au kufanya interview kwa namna yoyote ile basi kazi hana
Diamond anajua biashara na hapendi bifu ila huyo mtu wa kale ni mnafki na mswahili mwenyewe roho mbaya.kweli kabisa mkuu. Kwa Tanzania nathubutu kusema kwamba Wasafi media & record label pekee ndo wametuprove wrong kuwa bifu ni bifu na biashara ni biashara so havifuatani pamoja. Kwa jinsi navyomuona Diamond yupo tayari kuruhusu Kings music wapige shoo wasafi festival na kulipwa vizuri tu kama wasanii wengine ila Alikiba hiko kitu hataki sasa hiyo ni akili au matope? yule jamaa akili hana, akae chini na professionals wamfunze biashara inakwendaje.
Mchukueni basi huko CCM akutane na wenzake... Anatujazia nzi huku....Alikiba ni mpumbavu aliyetukuka