Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
usiwe mwepesi wa kuhukumusiku ukiwaona hao Kings Music Wasafi Radio basi hii thread itafutwa. Cc Invisible, JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe mwepesi wa kuhukumusiku ukiwaona hao Kings Music Wasafi Radio basi hii thread itafutwa. Cc Invisible, JamiiForums
Kama Wana magari,nyumba etc hyo mafanikio tosha sasa sjui hao mashabiki wanataka nn zaidichunguza wanaodai hivi,ni wale watoto under 19yrs wanaosikiliza singeri.
duh sjui shule znafunguliwa lini mtuachie jukwaa letu!!?
kiba hajawahi kushuka kimuziki toka aanze
domo kamkuta kiba teari ni super 🌟
kiba katoa ruhusa domo arekodi wimbo wake wa 1
#kiba anakwepa sana maswali ya kijinga kumlinganisha na mtu yoyote yule
sio mtoa vijembe kwa watu
inaonekana domo na misukule wake hawawezi kuishi muziki bila ya kiba
mnaamua kutengeneza bifu feki ili msipotee maskioni mwa watu
wasafi media Kwan haiwezi kuwapo bila kingsmusic?
mbaya sana unagombana /unamchukia mtu af unae mchukia hana time na wewe vile mtu hu feel ndivyo wasafi wanaskia
Wewe wasema si mimi na siku zote hamna mwalimu mzuri kama muda na muda huwaga haumsubiri mtu na hamna ukweli mzuri kama ule unaokuchoma.huwa naona ni upumbavu sana kuamini Kiba anatakiwa awe kama Mond!!!kwani mond ana kasoro gani mpaka asitoshe???
kama amefika peak kuliko yeyote ni jabo zuri,acha wengine nao waishi wanavyoona inafaa.na ni ujinga kuamini kiba anashindana na mond kwa namna anavyofanya mambo yake.
diamond anajishusha wapi[emoji16][emoji16][emoji16].Hatupo hapa kutoana mapovu ni kueleweshana tu kama wadau wa muziki, sasa huyo domo ndo nani kiongozi? punguza chuki kwa Diamond. Huyo msanii wako sio malaika kusema hakosei anakosea sana na akikosea haambiwi ila mnaishia kumsifia tu which is wrong. Mafanikio ya Diamond yanachangiwa na kuambiwa ukweli na kujishusha kwa watu wengine. Endeleeni kumdanganya Kiba mnazidi kumpoteza jamaa.
muda uko na kiba toka 2006,uko na diamond pia toka 2009,wala si ajabu yeyote kati yao akiachana kabisa na musiki hapo.Wewe wasema si mimi na siku zote hamna mwalimu mzuri kama muda na muda huwaga haumsubiri mtu na hamna ukweli mzuri kama ule unaokuchoma.
Ukipenda chongo huona kengengeza,women lie men lie but numbers don't lie.muda uko na kiba toka 2006,uko na diamond pia toka 2009,wala si ajabu yeyote kati yao akiachana kabisa na musiki hapo.
kakosea kitu gani?Hatupo hapa kutoana mapovu ni kueleweshana tu kama wadau wa muziki, sasa huyo domo ndo nani kiongozi? punguza chuki kwa Diamond. Huyo msanii wako sio malaika kusema hakosei anakosea sana na akikosea haambiwi ila mnaishia kumsifia tu which is wrong. Mafanikio ya Diamond yanachangiwa na kuambiwa ukweli na kujishusha kwa watu wengine. Endeleeni kumdanganya Kiba mnazidi kumpoteza jamaa.
kakosea kitu gani?
kiba hana ishu na mtu ila nyie hamuwezi kuishi bila yeye si mumkaushie tuu kwan anawanunulia chakula?
clouds haichezi nyimbo za domo kwan unaskia tena domo au clouds wanaliongelea hilo?
anyway ule ni uwamuzi wake kwa nini usieshimiwe?
kama wewe ni shabiki wa domo poa pambana nae
kama sio shabiki wa kiba temana nae mbona simple tuu
naona kama unaingilia yasokuhusu utakonda bure kwa mawazo usijipe maumivu yasokuepo mdogo wangu.
Ilikua ni lini waliwaalika na kwenye kukataa kwao walitoa sababu zipi?hilo ni jibu pigia mstari.
Sasa mtu aliyefanikiwa kwanini hua mnamlinganisha na asiyefanikiwa??Sio sisi kusema kafanikiwa hata wewe unajua kuwa kafanikiwa sana “huo unafik ndo tunaukataa”
Shangaa na weweTV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
Yaani kubadilika kwake ni mpaka akafanye interview Wasafi Media, lol unachekesha walai hebu jisikilize sauti yako unavyoongea.wala hata simuhukumu kiongozi wangu, hiyo ndo hali halisi ninavyoiona. Naamini atabadilika kwenye hili.
hawa watoto wanachekesha sana na boss wao.Yaani kubadilika kwake ni mpaka akafanye interview Wasafi Media, lol unachekesha walai hebu jisikilize sauti yako unavyoongea.
Hamzidi jiweAlikiba ni mpumbavu aliyetukuka