Alikiba kazubaa sana

Alikiba kazubaa sana

Utawasikia wakisema hapendi show-off,sijui wanajua hata maana ya show-off!
 
Utawasikia wakisema hapendi show-off,sijui wanajua hata maana ya show-off!
Hiyo ya show off ni maneno ya kumkejeri Kiba hii ilikuja baada ya kusema aliwahi kuwa na label yake kipindi ambacho ajaanzisha label ya king music akaulizwa Kama ulikuwa na label hapo awali kwanini wasanii wake hawafahamiki akajibu kwasababu sipendi show off tokea hapo neno la show off lilitumika Kama kejeli we chunguza vizuri wote wanaosema show off utagundua ni mashabiki wa diamond au wasiompenda Kiba.
 
Hiyo ya show off ni maneno ya kumkejeri Kiba hii ilikuja baada ya kusema aliwahi kuwa na label yake kipindi ambacho ajaanzisha label ya king music akaulizwa Kama ulikuwa na label hapo awali kwanini wasanii wake hawafahamiki akajibu kwasababu sipendi show off tokea hapo neno la show off lilitumika Kama kejeli we chinguza vizuri wote wanaosema show off utagundua ni mashabiki wa diamond au wasiompenda Kiba.
Sisi mashabiki wa kiba tunampenda kiba kimyakimya hatupendi show off,yoooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri kuishi unavyo penda kuliko kufurahisha watu he's ok na maisha yake, be real and stay real utaenjoy maisha watu wengi wanakosa hata kidogo ambacho wangekipata kisa ku copy maisha ya watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,kawaambukiza hadi nyie mashabiki kutopenda show-off..hv bado anakipiga Coastal Union au huwa hataki acheze mechi za ligi kuu sababu hataki show-off?
sahivi hata show za nje anazifanya kimya kimya,hata tunzo anachkua kimya kimya,show off za nn bwana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 Konde boy ana nafasi yake ni kijana wetu Mtanzania mwenzetu lakini Ali is our King.
Mbona mashabiki wa mondi hawaami hiv umewahi kusikia fans wa mondi wanahama kwa mondi wanaenda kumshabikia msanii mwingine?nyinyi amumuamini msanii wenu ndomaana mnahama
 
Mbona mashabiki wa mondi hawaami hiv umewahi kusikia fans wa mondi wanahama kwa mondi wanaenda kumshabikia msanii mwingine?nyinyi amumuamini msanii wenu ndomaana mnahama
Kama mashabiki wa Arsenal walivyokuwa wakihama na Henry,wamerudi baada ya Henry kustaafu.. 😂 😂
 
Kwani nimesema tulihama?
Nyinyi mnafanya ushabiki wa kukodi kwa kipindi ambacho kiba ajatoa ngoma mmeenda kwa kondeboy ila uwezi kukuta hata diamond asipotoa ngoma kwa muda mrefu huwezi kukuta mashabiki wake wameamia kwa msanii mwingine kwa muda na hii ndio sababu kubwa ya Diamond anafanikiwa Sana cos ana mashabiki real wanaamini kwenye yeye pekee wakisapoti wanasapoti kweli kweli ndo maana uwezi kukuta ngoma ya diamond inafeli ila mashabiki wa kiba ni mashabiki maandazi ndo maana kiba nafasi yake imepotezwa na sasa kachukua kondeboy game imebadilika now kiba anatakiwa apambane na kondeboy sio Tena mondi.
 
Huyu jamaa namuelewaga sana anavyoimba, lakini kazubaa sana, anashindwa hadi na wakina Meja kunta, hajui kujiuza ndio maana hata deal za matangazo hapati, huyu jamaa yupoyupo tuu.

Kama mziki hawezi si bora akauze hata mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Umemkumbukia nini?


Maana kesho akiachia wimbo utaupenda, utasahau

Atapotea


Ataachia wimbo tena......


Ndio maisha yake, mswahili halisi karidhika

Diamond ni mswahili mzungu he is greedy anajua hela


Tatizo ni nini? Kutaka wafanane?
 
Back
Top Bottom