Alikiba kazubaa sana

Alikiba kazubaa sana

Huyu jamaa namuelewaga sana anavyoimba, lakini kazubaa sana, anashindwa hadi na wakina Meja kunta, hajui kujiuza ndio maana hata deal za matangazo hapati, huyu jamaa yupoyupo tuu.

Kama mziki hawezi si bora akauze hata mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mlimuibia ✏️ yake ataandikia nini mashairi
Mrudishieni ✏️ yake
 
Yupo busy kupost birthday za watu ngoma subirini mwakani
 
Back
Top Bottom