Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September

Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September

Yule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule East Africa.

Mwezi September kwenda kushusha Laana 5 takatifu kupitia nyimbo mpya atakazoenda kuachia 2 zake binafsi na 3 alizoshirikishwa na wasanii wa ndani na nje ya nchi,

Wajuzi na watafiti wa duru za Burudani Africa Mashariki, Wanabashiri kuwa huenda ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa kufunga rasmi nyufa za mziki wa bongoflava ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Ambapo kwa sasa wasanii wengi wamevamia game na kukop mziki wa Nigeria bila kuzingatia misingi ya mziki wetu wa asili, Mbaya zaidi na wengine kufika mbali kutumia kiki za kihafidhina na kununua tuzo ili kupush mziki wao unaosuasua.

Note:
Kila atakayesikia project hizo mpya za KingKiba, Hakuna hata mmoja atakayethubutu kumaliza luku yake kusikiliza nyimbo zenye unaijeria, kiki na promo za kipuuzi.

Stay tuned, [HASHTAG]#KAJIANDAE[/HASHTAG] #AJE_REMIX [HASHTAG]#NISAMEHE[/HASHTAG] [HASHTAG]#TUMESHINDIKANA[/HASHTAG] #NIA_YAO
Hapo NISAMEHE ndiyo wimbo dogo Baraka kaua. Nyingine kawaida siyo kiviiileeeee
 
Alikiba ndiye msanii anayelipwa pesa ndefu kulko yoyote africa mashariki. Huu uwongo jmn uwe na vipimo ss. Bila ata haya
 
Alikiba ndiye msanii anayelipwa pesa ndefu kulko yoyote africa mashariki. Huu uwongo jmn uwe na vipimo ss. Bila ata haya
Uwe unabisha kwa facts basi!! Ukisema huu ni uongo basi unatakiwa kusema ukweli ni upi!!
 
Hehehehe,mkuu hiyo nguo Alikiba alivaa kwenye video ya Sauti Soul,halafu Mondi akaivaa kwenye birthday ya Raymond geto kwake...Nadhani utakuwa umenote kitu hapo....yaan nguo za Domo za kulalia geto yeye Alikiba anaona ndo za kutokea kufanyia shooting.
Tuache utimu wakuu
 
Uwe unabisha kwa facts basi!! Ukisema huu ni uongo basi unatakiwa kusema ukweli ni upi!!
Ni logic 2 haina haja ya fact wala nm. Simple msanii anayelipwa mkwanja mrefu hapa bongo ni chibu dangote kubali kataa
 
Usifananishe Wizkid na vitu vya kijinga
Huna unalojua kuhusu mziki wewe,kama ally leo hii angekua nigeria sijui ingekuaje,tatizo huku kwetu bado sana ila wasanii tunao,ally ni hatari kw taarifa yako huyo wuzkd na vijimbo vyake viwili ndo kakushika sana
 
akiilaani dunia ndo inakuwaje? au ndo jua linapatwa?
 
Huna unalojua kuhusu mziki wewe,kama ally leo hii angekua nigeria sijui ingekuaje,tatizo huku kwetu bado sana ila wasanii tunao,ally ni hatari kw taarifa yako huyo wuzkd na vijimbo vyake viwili ndo kakushika sana
Wizkid ana vijimbo VIWILI..!!?
Bila shaka utakua UNATANIA tu..!!!
 
Back
Top Bottom