George Kapinga
Member
- Feb 19, 2013
- 12
- 6
Wewe ulitaka hadi amtaje jina..!!?Leo umempa promo Kibakuli bila kumtaja Domo hongera
Hapo NISAMEHE ndiyo wimbo dogo Baraka kaua. Nyingine kawaida siyo kiviiileeeeeYule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule East Africa.
Mwezi September kwenda kushusha Laana 5 takatifu kupitia nyimbo mpya atakazoenda kuachia 2 zake binafsi na 3 alizoshirikishwa na wasanii wa ndani na nje ya nchi,
Wajuzi na watafiti wa duru za Burudani Africa Mashariki, Wanabashiri kuwa huenda ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa kufunga rasmi nyufa za mziki wa bongoflava ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Ambapo kwa sasa wasanii wengi wamevamia game na kukop mziki wa Nigeria bila kuzingatia misingi ya mziki wetu wa asili, Mbaya zaidi na wengine kufika mbali kutumia kiki za kihafidhina na kununua tuzo ili kupush mziki wao unaosuasua.
Note:
Kila atakayesikia project hizo mpya za KingKiba, Hakuna hata mmoja atakayethubutu kumaliza luku yake kusikiliza nyimbo zenye unaijeria, kiki na promo za kipuuzi.
Stay tuned, [HASHTAG]#KAJIANDAE[/HASHTAG] #AJE_REMIX [HASHTAG]#NISAMEHE[/HASHTAG] [HASHTAG]#TUMESHINDIKANA[/HASHTAG] #NIA_YAO
Uwe unabisha kwa facts basi!! Ukisema huu ni uongo basi unatakiwa kusema ukweli ni upi!!Alikiba ndiye msanii anayelipwa pesa ndefu kulko yoyote africa mashariki. Huu uwongo jmn uwe na vipimo ss. Bila ata haya
Tuache utimu wakuuHehehehe,mkuu hiyo nguo Alikiba alivaa kwenye video ya Sauti Soul,halafu Mondi akaivaa kwenye birthday ya Raymond geto kwake...Nadhani utakuwa umenote kitu hapo....yaan nguo za Domo za kulalia geto yeye Alikiba anaona ndo za kutokea kufanyia shooting.
Mzee nimeipenda hiyo avatar yako. Lazima huyo fundi anatoka Mbeya kwa watani zangu WanyakyusaPovu vp mlisema 25 mwezi w 8. Kimyaaaaa
Ni logic 2 haina haja ya fact wala nm. Simple msanii anayelipwa mkwanja mrefu hapa bongo ni chibu dangote kubali kataaUwe unabisha kwa facts basi!! Ukisema huu ni uongo basi unatakiwa kusema ukweli ni upi!!
Analipwa bei gani??Ni logic 2 haina haja ya fact wala nm. Simple msanii anayelipwa mkwanja mrefu hapa bongo ni chibu dangote kubali kataa
Laki Tisa USDAnalipwa laki ngapi?
Huna unalojua kuhusu mziki wewe,kama ally leo hii angekua nigeria sijui ingekuaje,tatizo huku kwetu bado sana ila wasanii tunao,ally ni hatari kw taarifa yako huyo wuzkd na vijimbo vyake viwili ndo kakushika sanaUsifananishe Wizkid na vitu vya kijinga
KARIBU WCB.
Kama unazungumzia hiyo baada ya kata kata, hiyo nahisi ni Harmonize.Mkuu hiyo nyimbo inayopigwa background kwenyee hii video inaitwaje na kaimba nani??
Wizkid ana vijimbo VIWILI..!!?Huna unalojua kuhusu mziki wewe,kama ally leo hii angekua nigeria sijui ingekuaje,tatizo huku kwetu bado sana ila wasanii tunao,ally ni hatari kw taarifa yako huyo wuzkd na vijimbo vyake viwili ndo kakushika sana