Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Team zisizo na viwanja vya mpira,
hawaamini kama kuna diamond na kiba wawili,
Wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili..
#sumu.
 
Hata Lupela iliwahi kusimamisha Dunia yenuu ilee
 
Hizi tim zitatufanya tuwe wehu,yaani mtu mmoja tu umbebe ati ashindane na mwengine ,huku kuna lundo la wasanii wa kali wenye hiti kali kushindwa wao lkn support na airtime ya kutosha hawapati.Nyimbo kama lover boy ya Barnaba boy au Maua sama sisikii nyimbo kali lkushinda hiyo mnayoisubiria ,lkn hawana airtime,hebu tubadilike.Halafu nawashangaa baadhi ya wa sanii nao wanasapoti (mf Baraka da prince ktk show moja ya kigamboni nilimwona akisema timu kiba mikono juu) ,hawajui kwamba wanajichimbia kaburi na kujipunguzia mafan.Ila kila siku nitawalaum sana waanzilishi wa hizi timu jokate,wema na kiba kwa ajili ya kumkomoa Daimond ,mwisho wa siku wakatuharibia mpaka tuzo zetu za KILI nae chibu akaja kureact yy pamoja na timu yake basi hali inazidi kuwa mbaya.Hebu tuache kusupport huu upuzi unaua mziki na kuwaumiza wasanii wenye fan base ndogo,yaani sasa hivi mpaka watangazaji na vituo vya redio nao wamegawanyika.
 
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.

Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director Mejialabi, South Africa.

Kwani Dunia ilikuwa imekaa?
 
Itasimama kwa wapi maana ipo kasi kweli angalieni isiwapitilize kituo
 
Hizi tim zitatufanya tuwe wehu,yaani mtu mmoja tu umbebe ati ashindane na mwengine ,huku kuna lundo la wasanii wa kali wenye hiti kali kushindwa wao lkn support na airtime ya kutosha hawapati.Nyimbo kama lover boy ya Barnaba boy au Maua sama sisikii nyimbo kali lkushinda hiyo mnayoisubiria ,lkn hawana airtime,hebu tubadilike.Halafu nawashangaa baadhi ya wa sanii nao wanasapoti (mf Baraka da prince ktk show moja ya kigamboni nilimwona akisema timu kiba mikono juu) ,hawajui kwamba wanajichimbia kaburi na kujipunguzia mafan.Ila kila siku nitawalaum sana waanzilishi wa hizi timu jokate,wema na kiba kwa ajili ya kumkomoa Daimond ,mwisho wa siku wakatuharibia mpaka tuzo zetu za KILI nae chibu akaja kureact yy pamoja na timu yake basi hali inazidi kuwa mbaya.Hebu tuache kusupport huu upuzi unaua mziki na kuwaumiza wasanii wenye fan base ndogo,yaani sasa hivi mpaka watangazaji na vituo vya redio nao wamegawanyika.
We jamaa kula tano[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Haahhah wanaelewa ilaa kiburii tuu Leo hii wajaribu tuu kuorganize show moja tuu jamaa atupigie hip hop zake kama taarabu alizomrisisha nay was mitego na apige kamwambie zake officialy king adunde na sindelela hadith maumivu kidato kimoja kama pata kalika ladha ni ile ile kama katunaga Jana yan Appreciated king kibaa
 
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.

Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director Mejialabi, South Africa.
 
Sure Mkuu mfano cheki Ngoma ya Aje tangu imetoka bado ubora wake upo palepale as if ndio umetoka jana, ila hawa ndugu zetu ngoma yao sijui kdogo kwanza a haielewek, haina maana sijui nan kaandika
Vp upande wa views YouTube Kiba Aje iliyotoka miezi miwili sijui mitatu nyuma na ya Mondi aliyotoka mwezi 1 uliopita ziko vp?
 
Back
Top Bottom