Alikiba kumtaja Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa Mnyama

UCHAMBUZI WA MSITARI HUO

unamjua simba mnyama? mnyama.

sio yule wa insta mnyama... mnyama...

huyo ni utopolo mnyama....mnyama...
Aaah we unamjua Simba mnyama

Sio huyu wa picha mnyama mnyama

Huyo ni wa Insta mnyama mnyama

Huyo utopolo mnyama mnyama


Mnyama mnyama mnyama

Kwa vikombe vingi mnyama mnyama

Anaopiga mwingi mnyama mnyama

Unyama ni mwingi unyama mnyama

Nasema unamjua Simba mnyama

Wa kimataifa myama mnyama

Mnyama nguvu moja mnyama mnyama

-----------------------

We Zombie Na Simba la ma Simba Dangote

Shu intro
 
Ahaa hapo aliamua kuwatofautishia mashabiki ya kwamba wanamjua simba anaemuongelea, kwamba sio Sio diamond simba wa UTO huyo alimuita ni simba wa kwenye magazeti na insta

Nayule simba anaemzungumzia hapo ni Simba SC
Simba MNYAMA au tuseme MNYAMA Simba
 
Lulembela kakijiji ka maraha ya papuchi. Kulaneni sana mbwa Mimi.
 
Mie si mwenyeji wa lulembela, napitaga tu hapo nikielekea ushirombo kwa wazee.
Ikikaribia siku unaenda kwa wazee wako utanicheki pm tuonane member mi nipo hapa Lulembela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…