Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani lulembela nilipita naenda ushirombo kwa akina USHIMEN,kuna mtombo sio wa nchi hii. Nilijikumbatia mpaka asubuhi na nyeto juu.Ilisha pita hapo mkuu
Itapendeza sana mkuu, kikubwa uzima tu.Ikikaribia siku unaenda kwa wazee wako utanicheki pm tuonane member mi nipo hapa Lulembela
Mbona Yule naye alimpopoa konde, kwenye Bora nienjoy, verse ya kwanza, kafumba pale, kilichomponza ufala, kujiona Simba kumbe swala,mapenzi uchwaraKatika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz
UCHAMBUZI WA MSITARI HUO
unamjua simba mnyama? mnyama.
sio yule wa insta mnyama... mnyama...
huyo ni utopolo mnyama....mnyama...
Hapa ni wazi kamtaja diamond lakini kwa maoni yangu Alikiba hakukua na haja ya dongo hilo kwa msanii mwenzie kutokana na wimbo wenyewe unahusiana na nini
Wimbo ni mzuri lakini umeharibiwa na ka mstari hako tu
Yuda exalioth
jamiiforums
Geita Lulembela
View attachment 2707540
Tunakujua ww ni mbobezi wa comment za mabifu kama hiiMimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu.
Kwahiyo kwa maoni yangu ukinisoma vizuri utagundua kitu ya kwamba sijui cha kuandika kwakua tangu mwanzo nilishasema mimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu
Katika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz
UCHAMBUZI WA MSITARI HUO
unamjua simba mnyama? mnyama.
sio yule wa insta mnyama... mnyama...
huyo ni utopolo mnyama....mnyama...
Hapa ni wazi kamtaja diamond lakini kwa maoni yangu Alikiba hakukua na haja ya dongo hilo kwa msanii mwenzie kutokana na wimbo wenyewe unahusiana na nini
Wimbo ni mzuri lakini umeharibiwa na ka mstari hako tu
Yuda exalioth
jamiiforums
Geita Lulembela
View attachment 2707540