Alikiba kumtaja Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa Mnyama

Yaani lulembela nilipita naenda ushirombo kwa akina USHIMEN,kuna mtombo sio wa nchi hii. Nilijikumbatia mpaka asubuhi na nyeto juu.
Awam hii ukipita hautojuta najua ilikua miaka ya nyuma sana
 
Mbona Yule naye alimpopoa konde, kwenye Bora nienjoy, verse ya kwanza, kafumba pale, kilichomponza ufala, kujiona Simba kumbe swala,mapenzi uchwara
 
Asa huyu Kiba naee😂😂😂
Anyway ni mbinu ya kutafuta attention
 
Mimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu.

Kwahiyo kwa maoni yangu ukinisoma vizuri utagundua kitu ya kwamba sijui cha kuandika kwakua tangu mwanzo nilishasema mimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu
Tunakujua ww ni mbobezi wa comment za mabifu kama hii
 

Mpigie Diamond mjulishe! Hivi Kiba kafanya jambo gani la Maana siku ile? Ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…