Alikiba kuungana na Wizkid kuperform kwenye Event ya Afrima Awards

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Mfalme wa Bongo Flavor Alikiba, aendelea kutoboa anga za kimataifa baada ya kuchaguliwa kuwa miongoni mwa watumbuizaji wa event kubwa ya Afrima Awards nchini Nigeria ambapo kwa mujibu wa ratiba ya Afrima Alikiba ataungana na msanii wenzake Wizkid ambapo watafanya collabo performance on the stage. Event hiyo itafanyika jijin lagos- Nigeria tarehe 10/10/2015.

Ikumbukwe kwa waandaaji wa Afrima moja ya criteria ya kumchangua msanii huwa ni lazima awe kafikisha kura zinazozidi washindani wake kwa zaidi ya 20% alionao kwenye category 1 kwa muda usiopungua mwezi mmoja na week 2 tangu zoezi la upigaji kura kuanza.

Alikiba yupo katika Category 4.

1.Best song of the year in Africa (Mwana)

2Best male artist of the year in Africa

3.Best song writer of the year in Africa

4.Best Male Artist in East Africa
 
Attachments

  • IMG-20150913-WA0003.jpg
    30.7 KB · Views: 504
Kuperform Afrima za Nigeria imefunguliwa thread kabisa acheni kujiaibisha mbona diamond at a perform afrimma ya USA sie tupo kimya na wiz kid a perform afrima Ana perform afrimma Shardcole pwilo
 
Last edited by a moderator:
Hiyo afrima mbona ya kawaida tu!! ingekuwa mtv base wanakolilia wakina wizkid hao?

hta hvyo hinaga ishu kiivo diamond kawachomolea hta mwaka jana hakuhudhuria tuzo àlimchukulia Peter msechu
 
Kuperform Afrima za Nigeria imefunguliwa thread kabisa acheni kujiaibisha mbona diamond at a perform afrimma ya USA sie tupo kimya na wiz kid a perform afrima Ana perform afrimma Shardcole pwilo
Kwani umezuiwa kuanzisha thread
 
Last edited by a moderator:
Kuperform Afrima za Nigeria imefunguliwa thread kabisa acheni kujiaibisha mbona diamond at a perform afrimma ya USA sie tupo kimya na wiz kid a perform afrima Ana perform afrimma Shardcole pwilo
We na Kidingi mlianzisha thread ya daimond kufikisha followers 1m na tiffa kuwa na followers wengi kuliko mtoto wa kiba na nyingi we anzisha kila mtu na uhuru wake na ikiwa verified pia mtuambia kama davido
 
Last edited by a moderator:
Hiyo afrima mbona ya kawaida tu!! ingekuwa mtv base wanakolilia wakina wizkid hao?

hta hvyo hinaga ishu kiivo diamond kawachomolea hta mwaka jana hakuhudhuria tuzo àlimchukulia Peter msechu
Mkuu daimond akichukua tuzo ambayo yupo category moja na davido au wizkid uniambie sawa uanzishe thread haha
 
Mbona don jazyy pia account yake ime kuwa verified muda mrefu Sana na Hana followers 1m
 
Attachments

  • 1442295899256.jpg
    38.6 KB · Views: 249
Last edited by a moderator:
Mbona don jazyy pia account yake ime kuwa verified muda mrefu Sana na Hana followers 1m
Mi nimekwambia ya daimond we unaniambia donjazzy mbona hata ya flavian matata ipo verified mi nataka ya mr misifa iwe verified
 
Mkuu daimond akichukua tuzo ambayo yupo category moja na davido au wizkid uniambie sawa uanzishe thread haha

Tulianza mwaka jna Channel O kuchukuwa Best Afropop Song 'number one' huku davido chaliiiiii wizkid hakuwa kabisa na nyimbo ya kushindanisha

Na tumekuja Za Uganda naona kurazenu zilikuwa kiduchu, wizkid akapigwa mieleka, Tumekuja mtvEurope hata nomination ya wasanii wanne Wizkid kakosa hahahahaaah DIAMOND NOOOOOOMAAA!!!!

Mtazihesabu saaana na hizo tusubiri tuone zenu.. Nilichokipenda ni kuwa mwanzoni mlikuwa mnamuona kibakuli kama anaweza, ila sahivi mmekubali mnasakizia majeshi kwa davido na wizkid na hao tunakalishaaaaaa!!
 
Sasa tumshindanishe naye kwani kiba ana international collaboration mpaka akitoa ndo tunaanza kuhesabu ila kwa sasa ni kavukavu bila collaboration ndo maana nguvu yke ndogo that y
 
Hiyo afrima mbona ya kawaida tu!! ingekuwa mtv base wanakolilia wakina wizkid hao?

hta hvyo hinaga ishu kiivo diamond kawachomolea hta mwaka jana hakuhudhuria tuzo àlimchukulia Peter msechu

Alikiba atafanya collabo performance na Wizkid, sarkodie atafanya na AKA,
 
Sasa tumshindanishe naye kwani kiba ana international collaboration mpaka akitoa ndo tunaanza kuhesabu ila kwa sasa ni kavukavu bila collaboration ndo maana nguvu yke ndogo that y

Channel o tulishinda bila collabo dogo tuzo 3 ushasahau
 
Mkuu Fungulia thread yake tutachangia hakuna tatizo
 
Kama hana inter collabo basi mshindanishe na hizi Mbagala 2010 ilikuwa nomineted,number one original ilichukua tuzo 3 chanel o nadhani nimekusaidia pa kumshindanisha msanii wako unayejisifia yupo kavukavu niambie na hizo kama sio kavukavu na alizichukulia tuzo kabisa sio tu kuwa nominees ila alizichukulia tuzo 3 kwa mpigo mbele ya hao wakina Davido.
Sasa tumshindanishe naye kwani kiba ana international collaboration mpaka akitoa ndo tunaanza kuhesabu ila kwa sasa ni kavukavu bila collaboration ndo maana nguvu yke ndogo that y
 
Basi sawa tufanye hivi ni underground basi maana hatutaafikiana maana hata yy alishachukua tuzo na kina beyonce na 2face alikuwa nao category moja USA huko kitamboo
 
Diamond kwa kiba pumbavu tu.niliingia acount yake fb nkakuta shabiki wake wakisema wamechoka na nyimbo za mapenzi.hahaha!
 
shabiki wa diamond ni aibu sana.mlibaki kulia tu ety tuzo ila mkiambiwa nyimbo za kiba ndo hizi nipe zako zenye uzuri huo,kwenu karaha.nyinyi wote wapumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…