Alikiba kuungana na Wizkid kuperform kwenye Event ya Afrima Awards

Basi sawa tufanye hivi ni underground basi maana hatutaafikiana maana hata yy alishachukua tuzo na kina beyonce na 2face alikuwa nao category moja USA huko kitamboo

waambie hao hawajui wasemalo.mtu timamu na akili zako wampambanisha kiba na domo kimziki jamani!
 
Basi sawa tufanye hivi ni underground basi maana hatutaafikiana maana hata yy alishachukua tuzo na kina beyonce na 2face alikuwa nao category moja USA huko kitamboo

Haaah leta picha ya kiba akiwa na iyo tuzo ya marekani
 
shabiki wa diamond ni aibu sana.mlibaki kulia tu ety tuzo ila mkiambiwa nyimbo za kiba ndo hizi nipe zako zenye uzuri huo,kwenu karaha.nyinyi wote wapumbavu tu.

Wimbo gani kimasomaso au
 
Haaah leta picha ya kiba akiwa na iyo tuzo ya marekani
kedrick grow up tatizo lako unatumia insta na jf tu njoo Twitter kwa watu wazima na stories kiba we unakesha insta na jf kutafuta umbea tuu ukija Twitter utajua nani underground nani sio underground believe what u believe but trust knows
 
Last edited by a moderator:

We nani hayupo twitter sikia leta izo picha basi kiba akiwa na izo tuzo za marekani
 
Last edited by a moderator:
Haaah leta picha ya kiba akiwa na iyo tuzo ya marekani
Ila yani nimeamini Africa kuna figisu pia wanambania awards huyu[emoji2] [emoji2] uploadfromtaptalk1442302249199.jpg
 
Hao sio Africa hao na wazungu MTV Europe sio MTV Africa
Nimeandika wanambania awards huyu sijasema ni wazungu au wahindi kwani mtv pia si alikosa na nyingne nyingi tu
 
We tulia mwaka Jana wiz kid nyimbo alizotoa haziku hit angojee mwakani ojuelegba utambeba
 
Izo ndo picha unajivunia coke studio diamond kafanya coke studio misimu mi3 dah punguzeni ushamba
Sawa ila ipo hivi
"Ali kiba ndo msanii wa kwanza tz kuimba na wasanii wakubwa yani international iwe ni project ya cocacola, sayona , pride ,pepsi , mirinda , au 7up, " king of king
 
Taja faida ya izo project alizofanya je Ana nyumba.?
 
Una vituko ujue ww kedrick aslay na anayo nyumba sasa unaniuliza swali gani hilo labda uliza hivi yule mdogo wake wa mwisho anayo nyumba ?? Kiba what a foolish
 
Last edited by a moderator:
Basi sawa tufanye hivi ni underground basi maana hatutaafikiana maana hata yy alishachukua tuzo na kina beyonce na 2face alikuwa nao category moja USA huko kitamboo

hahahaahhhaahghhahaaha kawadanganye kijijininkwenu haahaaaah kibakuli hajawahi kushinda tuzo ya kimataifa labda awe alijitahidi hapo kenya tuzo za genge
 
Una vituko ujue ww kedrick aslay na anayo nyumba sasa unaniuliza swali gani hilo labda uliza hivi yule mdogo wake wa mwisho anayo nyumba ?? Kiba what a foolish

Kazi kutegemea sugar mummy wa uingereza Mario
 
Last edited by a moderator:
Diamond kwa kiba pumbavu tu.niliingia acount yake fb nkakuta shabiki wake wakisema wamechoka na nyimbo za mapenzi.hahaha!

Kwenye muziki sasa nyimbo za mapenzi ndio kiboooko, na hasa za kuimba pumba pumba kama wanaija zinabamba miaka miaaa

hao uliowaona wanacomment huo ujinga ni wenzako na wewe, n kwa mtindo huo WANAMUZIKI WA INJILI NA HIP HOP NGUMU WANGEKUWA WANAUZA KULIKO WA MAPENZI, lakini matokeo yake ndio wanaongoza kuperform pesa karibia na bure, na ni Joh makini tu ndio anaotusua ambae anatoa vitu vilaini hiviiii

Hata Kibakuli mwenyewe ashawaambia MAPENZI YANARUN DUNIA, nyimbo za maloveeee ni cheeeche
 
Sawa ila ipo hivi
"Ali kiba ndo msanii wa kwanza tz kuimba na wasanii wakubwa yani international iwe ni project ya cocacola, sayona , pride ,pepsi , mirinda , au 7up, " king of king

Sasa mbona unajikanyagakanyaga, mara kiba hana collable ndionmaana hahit kama diamond,

mara collable za diamond za kitoto, kiba ndio kafanya za maana

Hueleweki kijana hahahassahahahaha
 
Back
Top Bottom