Alikiba kuungana na Wizkid kuperform kwenye Event ya Afrima Awards

Izo ndo picha unajivunia coke studio diamond kafanya coke studio misimu mi3 dah punguzeni ushamba
Ushamba tena ww au cc et unajisifia followers wa tiffan ni wengi kuliko wa mtoto wa kiba sasa hapo nani mshamba
 
hahahaahhhaahghhahaaha kawadanganye kijijininkwenu haahaaaah kibakuli hajawahi kushinda tuzo ya kimataifa labda awe alijitahidi hapo kenya tuzo za genge
Mkuu huamini au?
 
hahahaahhhaahghhahaaha kawadanganye kijijininkwenu haahaaaah kibakuli hajawahi kushinda tuzo ya kimataifa labda awe alijitahidi hapo kenya tuzo za genge

mkuu cjutii kusema shabiki wa domo nyinyi wapumbavu sana.hujui hata kama kiba ana tuzo za BEFTA akiwashinda Beyonce na akon,2face.usiniambie ety weka picha maana hata picha c kielelezo tosha.read about kiba.
 
mkuu ni matusi ama?mm nimesema domo kweli?naaa,ukweli c ana mdomo mkubwa?

Mkuu vepee nan katukanwa?

Hilo ndio jina lake kibakuli..na yule mwingine anaitwa domo...

Kuna tatzo?
 
mkuu cjutii kusema shabiki wa domo nyinyi wapumbavu sana.hujui hata kama kiba ana tuzo za BEFTA akiwashinda Beyonce na akon,2face.usiniambie ety weka picha maana hata picha c kielelezo tosha.read about kiba.

hahahahahahahahhah tutoleeni utoto hapa hahahaha kibakuli kashinda tuzo lini?? tena alikuwa anashindana na beyonce hahahahahahahahahahahah
 
Mkuu vepee nan katukanwa?

Hilo ndio jina lake kibakuli..na yule mwingine anaitwa domo...

Kuna tatzo?

binadamu wa kawaida kama ww lazma kiba utumie jina la heshima.yule mwengne hana lolote ni domo
 
mkuu cjutii kusema shabiki wa domo nyinyi wapumbavu sana.hujui hata kama kiba ana tuzo za BEFTA akiwashinda Beyonce na akon,2face.usiniambie ety weka picha maana hata picha c kielelezo tosha.read about kiba.

Haaaah we Kilaza unasoma Wikipedia me pia mda huu naweza kwenda kuandika kibakuli Ana tuzo 7 za Grammy usiwe unachukua kila kinachoandikwa through internet
 
Haaaah we Kilaza unasoma Wikipedia me pia mda huu naweza kwenda kuandika kibakuli Ana tuzo 7 za Grammy usiwe unachukua kila kinachoandikwa through internet

Mkuu umeanza kufatilia mziki baada ya Nenda kamwambie nini, kwanza sina hakika kama hata tuzo za BEFTA unazijua ww? Hizi tuzo hata Diamond huwa anaota walau tu aje kuwa nominated ila wapi, but kingkiba himself anayo kabatini tena alibeba zamani kipindi kile mondy yupo anauza mitumba.
 
Befta ni tuzo za UK special for black people asijua nani na kuingia katika awards ni wewe msanii ndo unatuma kazi zako
 
Befta vs bet awards ipi kubwa betfta vs MTV mama ipi kubwa befta vs MTV Europe awards ipi kubwa befta vs channel O awards ipi kubwa halafu unajiita unafatilia mziki haaah so kwa akili yako Kati ya kiba na mond bin laden nani anatamani nomination ya tuzo nadhan chibu hata iyo befta haijui ila kibakuli anajua na anatamani Sana aonekene bet na MTV asijali sauti Sol wata muuzisha sura
 
Na we MTV awards umezijua after diamond kupata Nomination ukadhan ndo ya kwanza na kuanza kujiongelesha na team kiba wenzako pwilo kabebewa na davido wakati diamond alipata his first nomination has best upcoming artist MTV akiwa na mbagala kipindi icho davido analazimshwa na baba yake aende shule
 
Last edited by a moderator:
Befta ni tuzo za UK special for black people asijua nani na kuingia katika awards ni wewe msanii ndo unatuma kazi zako

Aah shukuru mungu google imekuokoa maana inaonekana hujui kabsa music industry ya bongo na dunia.

Ila nikukosoe kitu kimoja, BEFTA huwa hakuna kutuma kazi kama tuzo mandazi zingine bali huwa kuna special committee yenye wawakilishi kutoka kila cost ya ya bara la Africa (East, west, south, North) pia hivyo hvyo kwa South America pamoja na wawakilishi watano kutoka nchi 6 zenye utajiri wa viwanda (the big5).

Then wanachambua kazi wao wenyewe kupitia wale wawakilishi wa kila sehem, then ndo wanatangaza nominees na zoezi la kupiga kura linaanza pia mshindi hupatikana kwa kura nyingi za fans accordingly to diversity yake ya fans base, pia kura za majaji by 45 percentage.
 
Hilo suala najua kuwa mondy through Mbagala hit song alikuwa nominated, sisi hapa tulitumia sana facebook enzi hizo kumpigia kampen sema ndo hivo watz walikuwa kama hawatuelew pia watu weng walikuwa bado hawana muamko juu ya masuala ya social networks.
 
Last edited by a moderator:

Maadazi ww muambie kibakuli atume kazi zake ila naona kashchelewA
 
Attachments

  • 1442440709128.jpg
    61.9 KB · Views: 56
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…