Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Nimeipa muda ila kaangalie ya Rayvanny na mayorkoun afu uje uongee.Hebu zipeni muda nyimbo, pendeni kuuacha muda uongee kwani husichokipenda ww husizani kila mtu atakuwa hakipendi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mmezoea kusikia kuzibua mitaro, sijui katoto kachafu nakipelekea moto na upuuzi kama huo. Hizo ndo international collabo za mtoa mada
Hazina impact kwake are you serious..? Kwani Alikiba amebadilisha au Alisha wahi kubadilisha melody..?Inno hata chai hujanywa unakuja kumfungulia thread Alikiba..Mwache King ajitutumue tunahitaji wasanio wengi wa kimataifa.Kwangu mimi naona msanio ambaye hawezi kabisa kupiga international collabo ni Rayvany yaani habadiliki matokeo yake analazimisha aliyemshirikisha apite kwenye njia anazopita yeye huwa hakubali melody ibadilike kulingana na aliyemshirikisha..Refer collabo yake na Nasty C,Nasty C hakutakiwa kupita njia zile kabisa huo ni mfano tu zipo collabo nyingi sana za Mbele za Rayvanny hazina impacts kwake,Labda ile mona tu na Jason Derulo kaitendea haki
Endelea kukaza fuvu [emoji23]Watanzania wakimjadili Aly kiba wakiwa Burundi ,huku alikiba wanaemnanga yupo bongo katulia Hana shida na miamala yaani[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Tena na kitu kizitoKwahiyo tumepigwa?
Hakuna mbona salute ni Kali sana na tukisema ukweli, hii tumepigwa bhanaTatizo mmezoea kusikia kuzibua mitaro, sijui katoto kachafu nakipelekea moto na upuuzi kama huo. Hizo ndo international collabo za mtoa mada
Hakuna kitu hapo utopolo endelea kukaza fuvu [emoji23]Nyimbo kali sana,nimeweka repeat toka asubuhi HAICHOSHI.Nasikiliza mbele ya familia,sasa hzo nyimbo za vijana wenu wa usafini zinafaa kusikiliza na familia au kuangalia video zake ukiwa umetulia na familia nyumbani?
Tulia hakuna kitu hapo dada angu.Wakati Kiba anaanza kuimba, wewe ulikua Sinza watoto wenzako wakikufundisha ile michezo inayokuweka mjini.
Hakuna kitu hapo uwezi linganisha na saluteWimbo mkali Sana huo , big up Kiba